Hawa modes sijui vipi siku hizi, hili bandiko hili ni la jukwaa la mambo ya sayansi na technology maana haya mambo ya Spika za willless, wireless Spika iko Dodoma halafu wireless microphone iko Dar. Watu wanasikiliza Spika ya Dodoma wakidhani mtambo uko Dodoma kumbe ile Dodoma ni Spika tuu, mtambo wenyewe uko Dar.
Kiukweli haya mambo ya wireless ni shida. This is my true story kuhusu adha za wireless nyumbani kwangu.
Mimi na jirani yangu wote wawili tunatumia TV za Samsung Smart TV, za same model, hivyo remote control ambazo ni wireless zinaingiliana, unaweza kuwa unaangalia taarifa habari ya TBC, jirani akipress button ya smart feature kwenye remote yake, kwangu inabadilika.
This is true kabisa na sio fasihi za Wireless Spika ya Dodoma mtambo Dar.
P