MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Sijaelewi Rebby utahumiaje ukiwa na mtu ambaye ni senior bacbela.au ishh ya kuvutiwa ndani occassionary wakati wewe unataka kuvutiwa regulary ?
Nadhani nipo kwenye Chief Barchelor.
Imenigusa kwa 100%.,,,wengi wameshazoea kukaaa wenyewe,kujipikia kujifulia,na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly...................sasa wewe jisogeze uumie hisia.......
Huyo Mwenza akiwa ni Gigy Money utaitamani hiyo akhera tu.Kuna umri kwa mwanaume lazima awe na mwenzi, la sivyo ni stress tupu zinazoweza kukuharakisha ukamuone muumba.
Kwenye mitandao ya kijamii wanadai kuwa eti wewe ni field marshall bachelor eti ni kweli wewe una cheo kikubwa hivyo mwaya?Hii issue ya senior bachelor, kwanza wengi wao wanajua kupika, ukiongeza maji kidogo kwenye mchele wanajua. Wengi ni wasafi sana, na wamezoea mpangilio wa vitu vyao, wanajua bei ya vitu sokoni, akitoa 10,000 anajua kabisa ni aina gani ya chakula anakitegemea na akitoa 50,000 anajua inaweza kufanyia nini katika mambo ya ndani.....
Nina cheo kizuri>Principal Bachelor.bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Mkuu umenichekesha sana Pokea like yangubachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P

Asante..Mkuu umenichekesha sana Pokea like yangu![]()
Tatizo ni kupata anayehitaji mume katika umri sahihi yaani 18-25yrs.humu wadada mbona kibao,au una priorities nyingine
Cheo kizuri na chenye heshima ni field marshall mkuu!Nina cheo kizuri>Principal Bachelor.
....na umshirikishe kwanza Muumba kabla ya kufyatua usije ukafyatua Fyatu tupu.Don't worry ninaanza kutekeleza amri ya mkuu wa nchi, kufyatua.
HaaaaKwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Haaaa
Kunbe na wewe bachelor? ?
Sichagui ila mwanamke mzee sioi.usiwe mchaguaji sana rafiki...
Kutokea juu na Kutokea chini, hilo andiko la kati linanihusu aiseeebachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
