Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,522
Niambie mkuu nimeeleweka
Niambie mkuu nimeeleweka
haabachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Hahaha na me ni Field Marshall wa kike, teh mrogeni tuHata wewe bachela tu. Hapa naongea na mshana jr tumroge BADILI TABIA, mzushi mkubwa!!
ahahaaa sponsor anaact usenior bachelor? no way habebeki huyo.bora senior aact usponsorNilikutana na sponsor alinieleza nimsubiri atafute pesa anioe.😕😕😕
kwa maumivu niliyoyapata mm najiunga na hilo chama .Yes meen, hakuna kubeba matatizo ya mtu mwingine wala stress zisizo za lazima mi pia napitia unachopitia wewe ila ukweli ni kwamba watu wa aina yetu ni wachoyo sana![]()
![]()
Ahahahahaaaa,,,wengi wameshazoea kukaaa wenyewe,kujipikia kujifulia,na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly...................sasa wewe jisogeze uumie hisia.......
Ulimtoa wapi huyo wakokwa maumivu niliyoyapata mm najiunga na hilo chama .
no stress
siangaiki na mtu kama kipepeo.
Hahahahaj
Mpendwa upo lakini???
Ummemsika
Teh teh, hata nyie mna ma senior bachelor wengi tu, kuanzia senior bachelor kwenda hadi field Marshall... japo kwangu umri has never been an issue!!Teh teh teh..
Hivi hii rank tukiileta kwa wadada, dadaangu huyu anakuwa na title gani? I do remember the story..
Naelewa Sky, natania tu wakati mwingine.Ukiwa unaishi Eli79 visanga ni sehemu ya maisha.
bora umenitia moyo,nilijua imeshakula kwangu.Huo ndio umri mzuri kijana, actually kwangu 28+ ndio ananifaa, hata wakati natafuta ubavu sikushuka chini ya hapo. Vitoto vinasumbua sana...
Hahahahahahahabora umenitia moyo,nilijua imeshakula kwangu.
Teh brod darling huo utani sio mzuri teh tehTeh teh, hata nyie mna ma senior bachelor wengi tu, kuanzia senior bachelor kwenda hadi field Marshall... japo kwangu umri has never been an issue!!
duuh, kumbe nishakuwa senior bachelor🙂🙂, kwani hizi ranking zimeandaliwa na shirika gani?!! anyway wacha niowe tubachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
field marshal kazidi naMaisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Mitazamo ya watu ni dynamic, field marshal anaweza kuwa mume na baba mzuri tu.
Teh teh, hivi senior bachelor anaanzia umri gani sisy darling?Teh brod darling huo utani sio mzuri teh teh

Hahaha 27-29 dadeeeeekiTeh teh, hivi senior bachelor anaanzia umri gani sisy darling?![]()
![]()
![]()
