Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Uuh nilikuwa natania tu mpendwa. SorryWapi nimeandika kuwa wewe ni Field Marshall.
Uuh nilikuwa natania tu mpendwa. SorryWapi nimeandika kuwa wewe ni Field Marshall.
Looh... rank zinazidi kupanda na mpango wa kuoa siuoni karibuni, got into principal bachelor na bado najipa moyo.., FA mwenyewe aliyesema bado yupo yupo ashatoroka, Zitto, Masanja... they are done with it, it's not about who did it... but with how years passes, I should get into it. Before searching for a wife material, I should start with myself being a husband material.., because think am not, na wadada should let me know aisee "husband material" what are your criteria(s) for this???!!!bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Le mbebez yeye ni 55yrz cjui cheo chakebachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Chief bachelor napita. Uwe kwenye ndoa, uwe peke yako kama hujajiunganisha na wewe mwenyewe upweke utakutafuna, kuna saa utalia, kuna saa utatamani utoke ndoani, kuna saa utatamani uingie ndoani.
Upweke ni episodes na si full time life experience. Ukimkuta full time loner huyo ni mgonjwa wa akili; hata ndoani wapo.
Kuogopa uzee wa peke yako ni woga tu. Wee sasa hivi waza ukizeeka utakula vipi, utatibiwa vipi na utalala wapi kwa jasho lako. Hesabia watoto au mwenza at your own risk. Kuna field marshal mmoja wa kike dar amefariki hivi karibuni akiwa na miaka 93 lakini hakuwahi kupungukiwa katika uzee wake. Alikuwa na watu hata wasio ndugu waliokuwa wakimtunza, alikuwa ameajiri dereva wa kumpeleka anakotaka, mtu wa kumfanyisha mazoezi ya viungo n.k. Swala ni umecheza vipi ligi yako.
Kuchanganya kuosha vyombo na ndoa au ubachela ni udhaifu katika kupambanua. Mimi ni chief bachelor lakini sifui wala kuosha vyombo. Kuna wanandoa hawafui, kuna wanaofua. Kupika, kufua au kuajiri mpishi au kula magengeni ni uchaguzi binafsi, ni life style ya mtu. Kuhusianisha kazi za nyumbani na kuoa ni kusema mwanamke anaolewa ili akafulie au kupikia mwanaume tafsiri ambayo haina tofauti na ujakazi.
Kusema wanaume wasiooa hawawezi kupewa majukumu makubwa yakiwemo kuongoza nchi kwa sababu wameshindwa kuongoza familia ni ufinyu wa fikra uliosababishwa na jamii kuwaza ngono na kutotambua maana na thamani ya kiongozi. Kuna field marshall kusini mwa afrika anaongoza nchi vizuri tu, nchi ndogo lakini inaongoza ku-export nyama ya ng'ombe wakati idadi yao ya ng'ombe ni chini ya robo ya ng'ombe wetu, na kuna mwanaume mwanandoa mmoja kwenye nchi nyingine hapa hapa kusini mwa jangwa la sahara ananyanyasa mke, kazaa na mtoto aliyekabidhiwa amlee, ana hasira balaa lakini kapewa nchi anaongoza. Pia asilimia kubwa ya wanawake waliofanikiwa hata katika uongozi ni field marshals au divorcees lakini wao wanaitwa women of substance. Double standards.
Binafsi naheshimu waliochagua ndoa na waliochagua kuwa peke yao. Yote ni maisha mazuri na changamoto zake ni zile zile japo zinaweza kutofautiana sura, mfano, wote wanakabiliwa na changamoto za committment na uaminifu kwenye machaguo yao. Sitaponda ndoa kwa sababu nimeona ndoa zenye machungu na mahangaiko mengi (nimewahi kufanya hivyo) kwani zipo nzuri, na sitaponda wanaoishi peke yao kwani wapo wenye amani sana. Wote wanahitaji kitu kimoja tu: kulenga vitu vya thamani kwenye maisha. Ukipita njia ya ndoa, huyu akapita isiyo ya ndoa makutano ni mamoja. Afterall siku ya mazishi hali ya ndoa hutajwa kwenye mstari mmoja tu "marehemu ameacha mja/gane na m/watoto kadhaa. Vile vinavyochukua sehemu kubwa ya wasifu wa marehemu ndo vya muhimu. Hivyo tunaondoka navyo.
UTAMU UTAKUZIDI UKIUGUA SASAKwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
mmmmh haya bana,,,wengi wameshazoea kukaaa wenyewe,kujipikia kujifulia,na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly...................sasa wewe jisogeze uumie hisia.......
haya bana dah.!Hii issue ya senior bachelor, kwanza wengi wao wanajua kupika, ukiongeza maji kidogo kwenye mchele wanajua. Wengi ni wasafi sana, na wamezoea mpangilio wa vitu vyao, wanajua bei ya vitu sokoni, akitoa 10,000 anajua kabisa ni aina gani ya chakula anakitegemea na akitoa 50,000 anajua inaweza kufanyia nini katika mambo ya ndani.....
Hahahaaaaaaa..... eti field Marshall!bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
WISDOM.Chief bachelor napita. Uwe kwenye ndoa, uwe peke yako kama hujajiunganisha na wewe mwenyewe upweke utakutafuna, kuna saa utalia, kuna saa utatamani utoke ndoani, kuna saa utatamani uingie ndoani.
Upweke ni episodes na si full time life experience. Ukimkuta full time loner huyo ni mgonjwa wa akili; hata ndoani wapo.
Kuogopa uzee wa peke yako ni woga tu. Wee sasa hivi waza ukizeeka utakula vipi, utatibiwa vipi na utalala wapi kwa jasho lako. Hesabia watoto au mwenza at your own risk. Kuna field marshal mmoja wa kike dar amefariki hivi karibuni akiwa na miaka 93 lakini hakuwahi kupungukiwa katika uzee wake. Alikuwa na watu hata wasio ndugu waliokuwa wakimtunza, alikuwa ameajiri dereva wa kumpeleka anakotaka, mtu wa kumfanyisha mazoezi ya viungo n.k. Swala ni umecheza vipi ligi yako.
Kuchanganya kuosha vyombo na ndoa au ubachela ni udhaifu katika kupambanua. Mimi ni chief bachelor lakini sifui wala kuosha vyombo. Kuna wanandoa hawafui, kuna wanaofua. Kupika, kufua au kuajiri mpishi au kula magengeni ni uchaguzi binafsi, ni life style ya mtu. Kuhusianisha kazi za nyumbani na kuoa ni kusema mwanamke anaolewa ili akafulie au kupikia mwanaume tafsiri ambayo haina tofauti na ujakazi.
Kusema wanaume wasiooa hawawezi kupewa majukumu makubwa yakiwemo kuongoza nchi kwa sababu wameshindwa kuongoza familia ni ufinyu wa fikra uliosababishwa na jamii kuwaza ngono na kutotambua maana na thamani ya kiongozi. Kuna field marshall kusini mwa afrika anaongoza nchi vizuri tu, nchi ndogo lakini inaongoza ku-export nyama ya ng'ombe wakati idadi yao ya ng'ombe ni chini ya robo ya ng'ombe wetu, na kuna mwanaume mwanandoa mmoja kwenye nchi nyingine hapa hapa kusini mwa jangwa la sahara ananyanyasa mke, kazaa na mtoto aliyekabidhiwa amlee, ana hasira balaa lakini kapewa nchi anaongoza. Pia asilimia kubwa ya wanawake waliofanikiwa hata katika uongozi ni field marshals au divorcees lakini wao wanaitwa women of substance. Double standards.
Binafsi naheshimu waliochagua ndoa na waliochagua kuwa peke yao. Yote ni maisha mazuri na changamoto zake ni zile zile japo zinaweza kutofautiana sura, mfano, wote wanakabiliwa na changamoto za committment na uaminifu kwenye machaguo yao. Sitaponda ndoa kwa sababu nimeona ndoa zenye machungu na mahangaiko mengi (nimewahi kufanya hivyo) kwani zipo nzuri, na sitaponda wanaoishi peke yao kwani wapo wenye amani sana. Wote wanahitaji kitu kimoja tu: kulenga vitu vya thamani kwenye maisha. Ukipita njia ya ndoa, huyu akapita isiyo ya ndoa makutano ni mamoja. Afterall siku ya mazishi hali ya ndoa hutajwa kwenye mstari mmoja tu "marehemu ameacha mja/gane na m/watoto kadhaa. Vile vinavyochukua sehemu kubwa ya wasifu wa marehemu ndo vya muhimu. Hivyo tunaondoka navyo.
Amen!!! RebecaWengi wameshazoea kukaaa wenyewe, kujipikia kujifulia, na kama ni sex wanamvuta mtu ndani occasionaly sasa wewe jisogeze uumie hisia.
NASIO WABAHILI PIA TUNAJALI NA KUHESHIMU HATA KAMA TUNAVUTA OCASIONALY,....TUNAJALI UTOA NAULI TUKITEMBELEWA..TUNASTAHILI PONGEZI MAANA TUNAPATA SHIDA KUPATA MKE TUNAOGOPA KLA SIKU HUMU JF TUNAONA MATATIZO YA NDOA..WENGINE TUMEBAHATIKA MTOT TUNALEA JAPO SI VEMA BILA NDOA...ILA MI MMOJA WAO JAPO SIJUI KAMA NI SENIOR NAHISI SIJAFIKA MAANA LATE 20'S...Hii issue ya senior bachelor, kwanza wengi wao wanajua kupika, ukiongeza maji kidogo kwenye mchele wanajua. Wengi ni wasafi sana, na wamezoea mpangilio wa vitu vyao, wanajua bei ya vitu sokoni, akitoa 10,000 anajua kabisa ni aina gani ya chakula anakitegemea na akitoa 50,000 anajua inaweza kufanyia nini katika mambo ya ndani.....
WamegomaKwa wale ambao *Hamjaolewa* hebu tafuta Cheo chako hapa
In Case your a *Woman* and not yet married these are the revised *Spinster* Rankings
18-22yrsSpinster I
23-26yrs Spinster 2
27-29 Senior Spinster
30-33yrs Principal Spinster
34-37 Deputy Chief Spinster
38-40 Chief Spinster
41-48yrs Spinster General
49-53yrs Shugar Mama
Principal hata mmoja hajitokezi hapa.
Maisha ni mtihani na kila mtu ana paper yake, tunafeli pale tunapo copy paper za wenzetu.NASIO WABAHILI PIA TUNAJALI NA KUHESHIMU HATA KAMA TUNAVUTA OCASIONALY,....TUNAJALI UTOA NAULI TUKITEMBELEWA..TUNASTAHILI PONGEZI MAANA TUNAPATA SHIDA KUPATA MKE TUNAOGOPA KLA SIKU HUMU JF TUNAONA MATATIZO YA NDOA..WENGINE TUMEBAHATIKA MTOT TUNALEA JAPO SI VEMA BILA NDOA...ILA MI MMOJA WAO JAPO SIJUI KAMA NI SENIOR NAHISI SIJAFIKA MAANA LATE 20'S...
HAKIKAMaisha ni mtihani na kila mtu ana paper yake, tunafeli pale tunapo copy paper za wenzetu.
Sawa nkikuruUuh nilikuwa natania tu mpendwa. Sorry