ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,370
- 118,759
Umri una sukari sana huo!!Hahaha 27-29 dadeeeeeki![]()
![]()
![]()
![]()
Umri una sukari sana huo!!Hahaha 27-29 dadeeeeeki![]()
![]()
![]()
![]()
Teh huo eeh, mbona wanaitwaga wazee sasa jamani?Umri una sukari sana huo!!
Kuwa bachelor haina maana uko alone. Ni kwamba hujaoa tu.It's lot of funny but ur alone...
Sitajali sana akinitoa kwenye hicho chama!Achana na Heaven Sent, anataka kuvunja chama letu
..wanaowaita wazee hawajui siri ya umri huo. Au labda nao ni watoto.Teh huo eeh, mbona wanaitwaga wazee sasa jamani?
Unataka kutukimbia? Umeshalipa ada unayodaiwa?!!Sitajali sana akinitoa kwenye hicho chama!
Itakuwa ni watoto. Sasa kama hao ni wazee, sisi je kina field Marshall? Hahaha..wanaowaita wazee hawajui siri ya umri huo. Au labda nao ni watoto.
Toka tu mwaego, Mungu akusaidieSitajali sana akinitoa kwenye hicho chama!
Hahaha dadeki, kumbe mnalipa na ada kabisaUnataka kutukimbia? Umeshalipa ada unayodaiwa?!!
Teh usiniquote bana, si umesema hututaki kina field marshall teh
Principal hata mmoja hajitokezi hapa.Kwa wale ambao *Hamjaolewa* hebu tafuta Cheo chako hapa
In Case your a *Woman* and not yet married these are the revised *Spinster* Rankings
18-22yrsSpinster I
23-26yrs Spinster 2
27-29 Senior Spinster
30-33yrs Principal Spinster
34-37 Deputy Chief Spinster
38-40 Chief Spinster
41-48yrs Spinster General
49-53yrs Shugar Mama
Sitoki mpaka unitoe.Toka tu mwaego, Mungu akusaidie
Sikimbii na-resign.Unataka kutukimbia? Umeshalipa ada unayodaiwa?!!
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P

Haya mimi najitokezaPrincipal hata mmoja hajitokezi hapa.
Teh chief Field Marshall, utaniambia ni lini nije nikutoeSitoki mpaka unitoe.
Wapi nimeandika kuwa wewe ni Field Marshall.Teh usiniquote bana, si umesema hututaki kina field marshall teh