contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Ukute hutaki kuoa kwakuwa ulishajijua huwezi kuniridhisha kwanini niishi na majanga wakati mie mgegedo ndio kila kitu? Acha nitakuja tu kukutembelea nursing Home, ohh ooppss ulisema huendi huko basi ukishazeeka kabisa nitakulea.Kwa jinsi ulivyoonyeshwa kuguswa na suala langu la kutokuoa....sikudhani kama ungenikatalia ombi langu.....
Ndg yangu hizo nyimbo zote za hao watu ulizotaja ni za mahaba...unajiliwazaje ....na huna mpanngo wa kuoa.. je una demu km huna m sure hizo nyimbo zikipigwa utakua una..... mwenyewe..unless we ni wale wakutumia huyu mara yule husettle nammoja just for pleasureKwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
mpaka nakutamani iseeKwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Hahahahahahaha . Ila ukioa 18-23 utalia wengi huwa usichana unawasumbua bora 25>Tatizo ni kupata anayehitaji mume katika umri sahihi yaani 18-25yrs.
Humu wengi jua limezama.
Hii issue ya senior bachelor, kwanza wengi wao wanajua kupika, ukiongeza maji kidogo kwenye mchele wanajua. Wengi ni wasafi sana, na wamezoea mpangilio wa vitu vyao, wanajua bei ya vitu sokoni, akitoa 10,000 anajua kabisa ni aina gani ya chakula anakitegemea na akitoa 50,000 anajua inaweza kufanyia nini katika mambo ya ndani.....
Lakini hata wewe Sky umepitia visanga teh teh, sio yule ulomzidi 12yrs?Nilikutana na sponsor alinieleza nimsubiri atafute pesa anioe.😕😕😕
Kwa kwa kwa kwa kwa ...kwan dada poa kazi yao c ndio hiyoooooo unajifanya km hujui vileHujamalizia ukitaka huduma ya kijinsia..unamaliziaga wapi??
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Ndo mimi. Watch youHahaha wewe huyo? ???
Hata 25-28yrs sio mbaya kuwa mke.Hahahahahahaha . Ila ukioa 18-23 utalia wengi huwa usichana unawasumbua bora 25>
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Ht hapo peusi peusi pangeweza kuwa peupe......Hahahaha walah hakuna glasi karibu???
Ila Mjomba, ungekuwa na patner angekukata kucha ujue???
Hata 25-28yrs sio mbaya kuwa mke.
Ila 30-35yrs hapa anafaa kwa matumizi ya binadamu ila sio kuolewa.
Teh haya banaNdo mimi. Watch you
Hujapata wakukuteka akili bado....hahhahahaKuwa Bachelor ni vizuri sana kuliko kuwa na hizi ndoa za sikuhizi FULL STRESS.
I'm always proud to be a Bachelor.
Hata wachawi wanakuwaga wawili wawili.Kwa ufupi ni wabinafsi ndio maana hawataki kuoa...
Ukivunja glass au kikombe utatolewa mimacho...
Labda wale ambao wanaishi na ndugu...
Lakini ukute mtu ana pesa na kila kitu afu anaishi mwenyewe kama mchawi..ni mchoyo bhaas...
mpaka nakutamani isee
Ukiwa unaishi Eli79 visanga ni sehemu ya maisha.Lakini hata wewe Sky umepitia visanga teh teh, sio yule ulomzidi 12yrs?
Teh teh teh..Lakini hata wewe Sky umepitia visanga teh teh, sio yule ulomzidi 12yrs?
Yes meen, hakuna kubeba matatizo ya mtu mwingine wala stress zisizo za lazima mi pia napitia unachopitia wewe ila ukweli ni kwamba watu wa aina yetu ni wachoyo sanaKwangu mimi maisha haya....ni zaidi ya paradiso.....