Ogopa hizi shuhuda

Mbona hujaweka ishu za forex...
Watu walipigwa ada now sijui accounts zao zinasoma dola ngapi[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
sitasahau
 
Shukrani mkuu,kumbee!Nilipiwa simu kama wiki mbili zimepita na mtu nisiyemfahamu (akidai ameagizwa na jamaa flani tulofanya naye kazi sehem,,kamtaja jina,lkn pia naye simkumbuki,kwamba kuna dili anataka kunipa), maswali yake tu nikashtuka, majibu nilompa nadhani yalimkatisha tamaa hakurudi tena.Inaweza kuwa ni hawa hawa matapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chapchap ipo kwa kufanya ushetani ! Jamaa mmoja alipata box la pesa kitandani baada ya kufanya mambo yake . Pesa ya haraka ipo ni wewe tu kuthubutu . Kumbuka nabii Isa aliambiwa nini na shetani alipopandishwa mlimani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who saw forex by ontario coming...

Mind you.. Forex sio uongo na wala si scam, ila kuna wajanja huitumia hyo kuwapiga wengne
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
 
Gd
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikoje hii biashara

Jr[emoji769]

Unaambia Kuna mzungu anataka unapewa namba za muhindi mwenye duka la jumla bei 8500 wewe unauza 30000 unatuma hela ya mzigo.biashara yako inakua imeisha. Mdogo wangu alipigwa m 3.6, kunikopa namuuliza ya Nini kujieleza nikamwambia polee . Alikua apigwe m5.

Hawa walikuwa na data zake walikuwa wanajua ata ratiba zake.
 
Usikate tamaa hiyo imekuwa bahati mbaya mvua zimezidi mwaka huu, lakini ukweli KILIMO kinalipa. Nakuhakikishia hapo umepata uzoefu Siku nyingine ukiulizwa do you have experience in farming? Sema yes!! Nakuomba urudi tena na tena!
 
Hawatapeli kiboya wanahakikisha wana full details zako ndio wakuweke kati
Jr[emoji769]
 
Vipi Kuhusu Mr. Kuku je ni genuine au tusubiri vilio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…