Mshana nadhan sio mtu mmoja. Ni icon flan. Ni ngum ujue kila kitu hiv. Watu weng wanawazia kupata bila kujihoji proccess ya kupata kwenyewe. Lakin kuna wanaopiga kupitia uhalisia hasa hawa wa kuleta fursa mkauziwa mbegu flan kama chia na mlonge au sungura alaf una mzigo soko hulioni. Mengine ni ukosef tu wa watu kutumia mr google kwa faida. Vipigo vingi vilishachanwa humo. Na vingi ni kazamani. Watu weng wana pesa lakin wako mal-informed. Kweli kuwa na pesa na kuwa na akili kuna wakat vinapishana!

Vipi kuhusu coronaMtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa mganga fulani ni kiboko. Kuna madalali mpaka kwenye ulozi
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa kapiga pesa ndefu kwenye kamari... Huyu kaumizwa naye anataka akuumize
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara GLND, FOREVER LIVING nk zinalipa sana.. Huyu keshapigwa na ana mzigo mkubwa wa bidhaa na hana wa kumuuzia.. Ukikubali unalo lake
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara fulani inalipa na faida yake ni chap chap.. Huyu hajui ni mropokaji tu naye kasimuliwa
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa fulani kafanikiwa kupitia njia fulani lakini yeye yuko hapo hapo akiwa hohehahe hana mbele wala nyuma... Hizi ni story za vijiweni
Hii dunia haina shortcut, hakuna pesa za bure.. Kila sent lazima uitolee jasho..
Marafiki wa mitandaoni wanaojifanya wako njema na wanataka mshirikiane kufanya ishu ya pesa.. Hawa ni matapeli tu, wezi waganga njaa kama wengine tuu
Mtu anayekushuhudia fursa kwa bashasha na lugha za kuvutia jua ya kwamba tayari aneshakuona wewe ni fursa..
Bahati mbaya sana hata baada ya kusoma hii post bado kuna watu watapigwa na watakuja hapa kulalama.. Na wengine watapigwa hapa hapa na wana JF wenzao
Ishu za madini
Ishu za mali ya mjerumani
Ishu za pesa za majini
Ishu za Freemason
Ishu za utajiri wa kafara
Ishu ya dola za kusafisha
Ishu za madawa, vipuri, vivyago, magari, vyakula na zabuni mbalimbali kupitia UN kwenda kambi za wakimbizi zote hizi ni wizi na utapeli
MAKINIKA..MAKINIKENI... WAJINGA HAWAISHI ILA KUKUMBUSHANA NI ADA..
Jr![]()
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa mganga fulani ni kiboko. Kuna madalali mpaka kwenye ulozi

Jr™️
na bei halisi ya bidhaa moja hukuzwa zaidi ya mara 20 kulingana na mikono ya mawakala ilimopitiaKama hao forever ndo hatar Sana!
Wakishindwa kukushawishi wanakuomba uwape namba za rafiki zako.
Kwa jinsi wanavyoendesha biashara zao Kuna aina fulan ya utapel.

Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa mganga fulani ni kiboko. Kuna madalali mpaka kwenye ulozi
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa kapiga pesa ndefu kwenye kamari... Huyu kaumizwa naye anataka akuumize
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara GLND, FOREVER LIVING nk zinalipa sana.. Huyu keshapigwa na ana mzigo mkubwa wa bidhaa na hana wa kumuuzia.. Ukikubali unalo lake
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara fulani inalipa na faida yake ni chap chap.. Huyu hajui ni mropokaji tu naye kasimuliwa
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa fulani kafanikiwa kupitia njia fulani lakini yeye yuko hapo hapo akiwa hohehahe hana mbele wala nyuma... Hizi ni story za vijiweni
Hii dunia haina shortcut, hakuna pesa za bure.. Kila sent lazima uitolee jasho..
Marafiki wa mitandaoni wanaojifanya wako njema na wanataka mshirikiane kufanya ishu ya pesa.. Hawa ni matapeli tu, wezi waganga njaa kama wengine tuu
Mtu anayekushuhudia fursa kwa bashasha na lugha za kuvutia jua ya kwamba tayari aneshakuona wewe ni fursa..
Bahati mbaya sana hata baada ya kusoma hii post bado kuna watu watapigwa na watakuja hapa kulalama.. Na wengine watapigwa hapa hapa na wana JF wenzao
Ishu za madini
Ishu za mali ya mjerumani
Ishu za pesa za majini
Ishu za Freemason
Ishu za utajiri wa kafara
Ishu ya dola za kusafisha
Ishu za madawa, vipuri, vivyago, magari, vyakula na zabuni mbalimbali kupitia UN kwenda kambi za wakimbizi zote hizi ni wizi na utapeli
MAKINIKA..MAKINIKENI... WAJINGA HAWAISHI ILA KUKUMBUSHANA NI ADA..
Jr![]()
Mshana vp kuhusu hawa jamaa wanaojiita Jamalife umewahi kuwasikia? Kuna rafiki yangu alinishawishi sn kujiunga lakn roho ikagoma kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app

Kiingilio dola 5.. Akipata watu 20 kila siku hajaishi huyo?Mshana vp kuhusu hawa jamaa wanaojiita Jamalife umewahi kuwasikia? Kuna rafiki yangu alinishawishi sn kujiunga lakn roho ikagoma kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app

Dunia ingekuwa na maisha rahisi kama wanavyotuaminisha... Sijui ingekuwaje na bei halisi ya bidhaa moja hukuzwa zaidi ya mara 20 kulingana na mikono ya mawakala ilimopitia
Jr![]()