Ex Spy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2007
- 313
- 2,649
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia watu kufika eneo hilo, ambapo tulikusudia kuadhimisha #ChademaMashujaaDay kuwakumbuka wahanga wa kupigania haki na demokrasia nchini."