Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,601
Reaction score
6,692
Msajili.jpg
 
naanza kuamini ukombozi unakaribia dalili za kuchanganyikiwa na matukia haya ni dalili wazi mpina kufutwa na hii barua ni ishara ya upofu wa wazi wazi
kumbuka kabla ya ukombozi huwa giza linaongezeka ili uchungu uongezeke
 
Jamani eeh, kwani ninyi mlitaka msajiri afanyaje? Unapata wapi ujasiri wa kukuengua Mh. Rais? Wewe unayepinga jaribu kuvaa viatu vya msajiri. Haya mambo yanawezekana huko kwingine ila sio kwa Africa. Demokrasia sio tunda la wa-Africa, sisi tuna namna yetu ya kiutawala huko kwingine tupo kwa ajiri ya kupata misaada tu.
 
Sema Tanzania,Uganda,Burundi,Rwanda na DRC nchi za wapumbavu.
 
Polepole amesema wote watawajibiswa! Nyahoza utawajibishwa, kuna wakati utafika!
Wkt yeye kajificha kiasi kivuli chake kinafanya mapigo ya moyo yapande
Ukombozi gani unaogopa kulala kolokoloni !!!

uku ww unaota kuwa wenzako watawekwa kolokoloni Watanzania wengi wapo kolokoloni
na maisha yanaenda anaogopa nini.
 
Back
Top Bottom