Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Duuh! Kwanza nakusikitikia sana mkuu yaan miaka 42 bado unakaa kwa mzee na bado unadai upatiwe fungu na wew la mauzo ya nyumba yenu ilihali ushasema nyumba ni yake na alijenga yeye wewe hukuchangia hata senti mkuu kubali matokeo tena shukuru kwa hifadhi aliyokupa kwa age yako saai ungekuwa umeoa na una kwako.
 
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Natamani nikutandike vitasa vyakutosha mpaka akili yako ikae sawa.
 
Hovyooooo
Screenshot_20220117-230135.jpg
Screenshot_20220117-230146.jpg
Screenshot_20220117-230212.jpg
 
Huyo unae muita baba ako sio baba ako mzazi hataki kukwambia ukweli Tu.
Ur not his biological son period
 
Chuo Kikuu cha DSM Ndo kimefikia Kuzalisha haya Mazabe Kweli?

Eti mi ni mhitimu wa UDSM, Walimu wako hapo Chuo wakiona huu Upuuzi Lazima Wazimie!
 
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.

Wasted sperms!
 
Hahahaa dah mkuu hivi upo serious kweli au unataka kuchangamsha genge tu?
 
Yaan wew ni zaidi ya mburukenge

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Sio Nyie Ndo Mnaouwa Wazazi Wenu kwa Tamaa Ya Mali??? Yaan mzazi Akusomeshe Akufanyie kila Kitu alafu Auze na Mali yake nayo MgawaneWewe Kaka Sidhan Kama Upstairs pako vizuri, kwanza Inaonekana Huna Adab na Heshima Ndo Maana Mzee wako kakunyima, Na Yamkini Alishawahi Kukupa Kitu zama za nyuma ukakipukutisha Hivyo akaona Haina Haja Ya Kukupa Hata Shilingi, Bora Auze kabla Hajafa Ale Hela Yake Kihalali Asikuachie Mjinga Kama Wewe Uchezee hela Yake.
Siku zote cha Mzazi sio CHAKO, Hata kama Anacho akikupa Ni Upendo Tu lakin Sio lazima Akupe,
Toka Kwenu na Hiyo Elimu yako unayojinadi nayo Ukafanya Kazi hata Ya kuuza Maji, Si umesoma Marketing wewe Brand maji Na Karanga Utapa Hela uache kulilia Hela za Mzee wa watu.

Aibu Yakooo
 
Sasa unahangaikia mali ya mzee ya nini? Achana naye upambane upate vya kwako.Mzee amekusomesha bado unataka urithi kumbuka huyo bado hajafa,hakuna atakayekusaidia maana uko kinyume ndo maana kila mtu anakushangaa.Bora kama mzee angekuwa keshafariki unapigania urithi.....mtu ameuza nyumba yake pengine ana jambo la kufanya wewe unataka mgao?? Are you serious Man .Uko na 42 harafu una mawazo haya kweli acha hizo mtoto wa kiume muache mzee afanye mambo yako.Kwenye hilo utafika mpaka taifani bila msaada kila mtu atakuwa anakushambulia wewe tu....eti baba kauza nyumba nataka anigawie nikaanze maisha,miaka 42!! Kuna kitu hakiko sawa ndo maana hata mzee anakupuuza!! Fafanua vizuri kuna kitu unaficha

Kabisaaa
 
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Hao watoto wengine (ndugu zako) walipewa chochote? Nani aliyekusomesha? Je baba yako amesharudi kijijini kama ulivyosema? Kwa sasa takribani mwezi tangu nyumba iuzwe wewe na baba yako mnakaa wapi? Na Baba yako anafanya nini na hizo hela as of now. Chondechonde usije ukamuua baba ili uzipate hizo pesa.
 
Back
Top Bottom