Nisikilize.
Sheria ya kumtaka mzazi ampe mtoto wake urithi ipo isipokua haijaelekeza kiasi cha kugewa. We si umeona watoto wa Mengi na mama yao K Lyn?
Mimi ni messenger wa ofisi ya mawakili kama una mpunga tuma kabisa laki 2 ya kuwalainisha hawa mawakili ila wakubali kukusikiliza.
Nilichoandika ndiyo kipo hivyo.1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Nilichoandika ndiyo kipo hivyo.
Naomba utaje hiyo sheria ya urithi nasi tujielimishe.
well saidComments nyingi ni negative, ila dingi MWENYE AKILI
anawajibu wakurithisha mali kwa wanawe.
Methali 19:14 BHN
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.
Mithali 13:22 SRUV
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
Hata ukisoma kisa cha mwana mpotevu ALIPEWA SEHEMU YA MALI INAYOMWANGUKIA.
Biblia ina mifano mingi sana
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Hakuna hiyo ya urithi akiwa hai.Hii ni kesi ya watoto dhidi ya mke wa marehemu. Wakati marehemu hayupo/amefariki. Si kesi wakati bado marehemu yuko hai.
Ningependa nipate yenye:
mtoto amemshitaki mzazi kwa kumnyima urithi wakati mzazi husika yuko hai.
Najua unaweza kupata ya mzazi kutokutimiza majukumu kwa mtoto, lakini si urithi wakati mzazi yupo.
Tafuta ulete au soma hoja ya mtoa mada vizuri.
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Mimi naendelea kusimama na babako, kwa kuwa wewe akili hauna, nenda hata mahakamani haitoshinda hiyo kesiHabarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Leo kapunguza umri mara ya kwanza alikuja na miaka arobaini na saba. (47)1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Leo kapunguza umri mara ya kwanza alikuja na miaka arobaini na saba. (47)
Hakuna urithi unaogawiwa kwa lazima wakati mrithishaji yuko hai.1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Hata kama na kesi iliyowahi kuamuliwa aweke tuisome.Naomba utaje hiyo sheria ya urithi nasi tujielimishe.
Anatoa mfano wa Mengi,Mengi tayari alikuwa marehemu.1: Sheria inalazimisha mzazi agawe urithi kabla hajafa??
2: Kuna sheria inayompa haki mtoto kudai urithi kwa mzazi akiwa hai??
3: Mtoto mwenyewe 42 years??
Wewe jamaa unashangaza Sana,Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Huyu bwege natamani ningekuwa moderator nimpige ban, 42yrs wana wajukuu alafu yeye anajiita mtoto si bure huyu atakuwa ni yale na kabila maarufu kwa kukwea Minazi ndo wana utamaduni wa kusubiri saana urithi.Wewe jamaa unashangaza Sana,
Unajiita mtoto wake! Really miaka 42 Bado mtoto?
Saivi umeshatoka kwenye utoto kwahiyo wewe sio mtoto wa huyo mzee maana umekaribia kulingana nae wote muwe wazee.