Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,541
- 1,550
Good song!
Hahaha[emoji23] [emoji23]Mungu wa Paul (Makonda), Daudi(Bashite) na Mungu Wa Yohana/John (?), kweli dogo soon atarudishwa Ununio
Mistari bora katika wimbo wa Roma, Zimbabwe.Huo hapo
Sent from Ili iweje
Mkuu,Jaribu kuliangalia jina Zimbabwe katika jicho la mbali/tatu.Umeenda mbali sana mkuu! Hiko ni kionjo tu,ungekuwa umebahatika kucheza mgambo au kupitia jkt ungeelewa hilo neno Zimbabwe,hutumiwa tu kuongeza hamasa pindi munspokimbia mchakamchska
Ushasema, kafungwa macho kwa siku 3 atawajuaje? Ukiandika soma tena ulichokiandika!Kachapwa mijeledi,kapigwa bila huruma na kafumbwa macho siku3.... ni kina nani hao walio mfanya hivyo? Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.
Majibu kwa nini hawataji yapo kwenye wimbo.Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.
Kua mpole hata sisi jeshi tulienda....sema wewe hujaona maana ila sio kwamba hakijabeba maana.Roma kila alichokiimba kwenye wimbo wake+video vina maana.Kumuelewa Roma ni swala la kutuliza akili tuHujaelewa mkuu! Zimbabwe ametumia kama kiitikio lkn hakija beba maana yeyote,nilipokuwa jkt miaka kadhaa iliyopita tuliimba sana kwenye mchakamchaka hiko kiitikio cha Zimbabwe.
Sawa mkuuMkuu,Jaribu kuliangalia jina Zimbabwe katika jicho la mbali/tatu.
Zimbabwe liweke katika mizani ya uongozi,uchumi nk..kisha tumia ubongo na ufahamu kufanya upembezi na kuchanganua.
We jamaa acha kujifanya mjuaji kizazi hiki wengi jkt wamepita....Binafsi nlikua mgambo kwa kanole na uo wimbo wako naujua ila hauapply hapa kwenye wimbo wa Roma.Umeenda mbali sana mkuu! Hiko ni kionjo tu,ungekuwa umebahatika kucheza mgambo au kupitia jkt ungeelewa hilo neno Zimbabwe,hutumiwa tu kuongeza hamasa pindi munspokimbia mchakamchska
Akitekwa tena tayari ameshatuambia ni nani hasa watekaji wake.Amewachana kimtindo
Nyimbo iko poa, ila haogopi kutekwa tena?