Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,216
si unaburudisha lakini, tunachotaka ni melody tuburudike, anyway kila 1 na mtizamo wakeNi ngoma mbovu kuwahi kuiskia kutoka kundi hilo.
Asilimia kubwa ya wimbo wameishia kutaja majina ya watu na vitu, mara amita bachani sijui zuena, upuuzi mtupu.
Huu utaratibu wa kukopi na kupest kazi za wasanii wenzako kwa mgongo wa ubunifu ni dalili za mfa maji, so haishi kutapatapa.
Nimeona karibia wote mmevaa mawigi kichwani, nani kawaambia sisi vijana wa zamani tulikuwa tunafuga nywele wote.
Hayo ni machache kati ya mengi niliyoyaona kwenye hii bolingo yenu
NB: Povu ruksa ili lisiwe la omo na mkimind sana vimbeni mpasuke.
Kuku ni kuku tu jogoo jina
Labda kwa vile anakamatwa kamatwa sanaKwani yericko ndo nani kwenye mziki wa bongo hadi umtumie kama reference ya kutambua ubora wa mziki?
Mleta mada acha kuwa biased!
brain is the beautiful part of the body.
Hahaha ndo atumike kama factor ya ubora wa mziki!!! Ukute hata kuimba hajuiLabda kwa vile anakamatwa kamatwa sana
Jasusi mbobezi na wa siku nyingi na pia ni mchambuzi wa siasa za kimataifa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani yericko ndo nani kwenye mziki wa bongo hadi umtumie kama reference ya kutambua ubora wa mziki?
Mleta mada acha kuwa biased!
brain is the beautiful part of the body.