[emoji3] [emoji3] sasa siasa zao za kipigania matumbo yao na muziki wapi na wapi mkuu?Jasusi mbobezi na wa siku nyingi na pia ni mchambuzi wa siasa za kimataifa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3] [emoji3] sasa siasa zao za kipigania matumbo yao na muziki wapi na wapi mkuu?Jasusi mbobezi na wa siku nyingi na pia ni mchambuzi wa siasa za kimataifa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona povu nyingi umekula sabuni ya omo!?!? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kaimbe na dada yako..acha kutuharibia weekend na nyimbo za wala vumbi
Lkn kwnn mnakomaa kufananisha tembo na simba,we all know mfalme wa mbuga ni simba na sio tembo.Ali kiba ni mwanamuziki na Diamond ni msanii, bahati mbaya kizazi cha wanamuziki kilishapita, sasa hivi ni wasanii na entertainers ndo wanaokubalika, ni kizaI cha entertainment!
Mi hayo sijui, nainjoi muziki mzuri, ukiwa mbaya nasema na ukiwa mzuri nasema, haijalishi ni kiba au mond!Lkn kwnn mnakomaa kufananisha tembo na simba,we all know mfalme wa mbuga ni simba na sio tembo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa muziki-If change will not come through the ballot, it will come through the bullet someday - David Ndii [HASHTAG]#Decision2017[/HASHTAG].
Hapana sabuni ya mbuniMbona povu nyingi umekula sabuni ya omo!?!? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Kwani yericko ndo nani kwenye mziki wa bongo hadi umtumie kama reference ya kutambua ubora wa mziki?
Mleta mada acha kuwa biased!
brain is the beautiful part of the body.
[emoji106]Kila mtu ana mapenzi yake hamkatazwi kupenda zilipendwa tuacheni na seduce ya King Kiba
Sasa mbona povu lilikutoka kumtaja Hamissa MobetoTushabikie miziki yao na si tuumizwe na mambo ya gizani usiyo kua na uthibitisho nayo .nakuelewesha tu kama wate ni mashabiki wa mziki na si matimu ya kijinga .muziki wao umetufanya tumewajua na si mimba au watoto hayo ni mambo binafsi sana usiumie nayo mkuu
Povu maanaake nini?kama kumtoa Mtu ktk Giza la fikra kumleta ktk mwanga ni mbaya basi ni bora ubaki huko ulikoSasa mbona povu lilikutoka kumtaja Hamissa Mobeto