Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Katika watu ambao diamond alitakiwa kawafukuza kazi ni huyu meneja.

Yaan anataka kutuambia kwamba Diamond sio Bora mpaka abwebwe na hao wengine including yeye?

There was no logic ya kusema kwamba kwenye huo wimbo diamond kaimba chorus moja tu na kwamba hata yeye ameimba.

Unless kama.alikuwa anataka kutuambia kua wcb ni chama kubwa hilo sawa.

Ila sio atujie n kanuni ya kumshondanish Kiba na wcb yote hata enzi zile za "nani zaidi" redion walikuwa wanashindanisha mtu kwa mtu ma kundi kwa kundi. Na hawa washindanishwa nilazime waimbee nyimbo zenye mahadhi yamayoshabihiana. Mfano- solo artist watashindanishwa solo artist mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba aombe msamaha tu kwa Mondi ampe hata kolabo vinginevyo atafutika mazima kwenye mambo ya mziki

''Aut Vincere Aut Mori''
Who are you to judge?
Hebu jipe muda af angalia kati ya zilipendwa na seduce me ipi itakuwa nominated kuwania tuzo.

Kwanza meneja wa diamond Kesha sema huo wimbo diamond kaimba sehem dogo sana hivyo ka.sio hao wenzie kumbeba asingeweza hat kuskika rejea nukuu ya maneno ya meneja wake.

Tena huyu ilitakiwa diamond amfukuze kazi kesho yake. Kauli yake sio njema kabisa kwa diamond.

Meneja aliyekuwa mzuri kwa.diamnond ni Yule aliyemsimamia kazi zake za zamani kama mbagala, na nitarejea

Muziki wa dai ni biashara bila kujali ni kundi zima au mtu mmoja,halafu sijaona kama dai kabebwa hapo bali yeye ndio kawabeba,huwezi kuitaja wcb bila dai

Kumfukuza meneja sio kazi rahisi kuna mikataba mkuu na maelewano yao hivyo wao wenyewe ndio wanaelewa nn wakifanyacho
Katika watu ambao diamond alitakiwa kawafukuza kazi ni huyu meneja.

Yaan anataka kutuambia kwamba Diamond sio Bora mpaka abwebwe na hao wengine including yeye?

There was no logic ya kusema kwamba kwenye huo wimbo diamond kaimba chorus moja tu na kwamba hata yeye ameimba.

Unless kama.alikuwa anataka kutuambia kua wcb ni chama kubwa hilo sawa.

Ila sio atujie n kanuni ya kumshondanish Kiba na wcb yote hata enzi zile za "nani zaidi" redion walikuwa wanashindanisha mtu kwa mtu ma kundi kwa kundi. Na hawa washindanishwa nilazime waimbee nyimbo zenye mahadhi yamayoshabihiana. Mfano- solo artist watashindanishwa solo artist mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau wimbo wa nitarejea alimshirikisha hawa,sijaona ubaya wa kauli ya salaam hasa kama shabiki nshazoea maneno yao yanatia vionjo flan hivi kunogesha mbwembwe za music

Hakuna wimbo ambao dai alitoa bila kukosolewa hivyo hata huu kasoro zitolewazo hazina mantic zaidi ya chuki tu,kumpangia mtu toa kile fanya hiki kisa yule katoa kile alone haileti maana. Biashara ni ubunifu
Kauli kwamba mshukuru kwamba mmpepigwa mtungo tayari analeta hisia tofauti kwamba huu wimbo sio bora na kwamba Diamond akiwa alone anafanya vyema zaidi.

Swali langu ni je kwann hafanyi mwenyewe kama enzi za nitarejea? Ama kuna confo haipati akiwa alone so akiwa kwenye mtungo anaipata?

Teh.. Mi nawasikitikia wengi wana comment wakiongozwa na mihemko. Piga chini hao. Washafeli
 
9202ba0e9aa5e59f38d99cc2be535a00.jpg

Bado ana element za ki-bush men. Atakuja tu mjini siku moja akisha ipata chupa
 
Ni ngoma mbovu kuwahi kuiskia kutoka kundi hilo.

Asilimia kubwa ya wimbo wameishia kutaja majina ya watu na vitu, mara amita bachani sijui zuena, upuuzi mtupu.

Huu utaratibu wa kukopi na kupest kazi za wasanii wenzako kwa mgongo wa ubunifu ni dalili za mfa maji, so haishi kutapatapa.

Nimeona karibia wote mmevaa mawigi kichwani, nani kawaambia sisi vijana wa zamani tulikuwa tunafuga nywele wote.

Hayo ni machache kati ya mengi niliyoyaona kwenye hii bolingo yenu
NB: Povu ruksa ili lisiwe la omo na mkimind sana vimbeni mpasuke.

Kuku ni kuku tu jogoo jina
Kijana wa zaman wap ww unanukia maziwa tu hamna lolote uzi kapelekee wakina KIBAMIA wanaomkubal KIBA asilimia %

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli kwamba mshukuru kwamba mmpepigwa mtungo tayari analeta hisia tofauti kwamba huu wimbo sio bora na kwamba Diamond akiwa alone anafanya vyema zaidi.

Swali langu ni je kwann hafanyi mwenyewe kama enzi za nitarejea? Ama kuna confo haipati akiwa alone so akiwa kwenye mtungo anaipata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nyimbo ngapi wcb wameimba kama kundi ? ...mshukuruni yule mwehu kule insta kwa promo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi fananisha zilipendwa na seduce me, WASAFI wamefanya vizuri kuliko kiba. Tusiongozwe na hisia bali penye ukweli lazima tuseme kweli
 
Sijutii kuwa TEAM WCB 300 yangu inaenda kihalali

[emoji445][emoji445][emoji445] diamond na wema zilipendwa[emoji445]

[emoji444]nywele za kichina zilipendwa[emoji445]

[emoji445]sikinde msondo zilipendwa [emoji445]

[emoji445]iddy amini dada zilipendwa[emoji445]

Shikamoo mond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
hii shikamooo iende kwa matonya mbunifu wa wazo hawa makanjanja wengine ni aibu tu
 
Unaanzaje kumfananisha simba na matakataka mengine [emoji23][emoji23][emoji23] panic at your own risk! Diamond unakera ujue hahaha WCB ni kimataifa wakibiti am sorry [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom