Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

21040915_717820585070522_8762915589552340992_n.jpg
 
Kiwimbo cha kitoto hicho, seduce me ndo international song

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Unaye mchukia Diamond wewe kichwani huna kitu una matope tu
 
Kitabu usichokielewa ujue hujatungiwa wewe amini amini nakuambia katika watanzania milion 45 mnaomchukia diamond hamzidi milion 15 na ndio maana badala ya kushuka kama mnavyomtabiria ndio anazidi kupanda
Sahihi mkuu
Walipanga kumpinga ndo maana wanahaha[emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom