Wewe ni Zari au muosha mahari wa Zari mbona unaona wivuDaah chuki mbaya sana.wewe ni mama dai nn mpaka uumie hivyo unauhakika kama ni wake?
Wewe ni Zari au muosha mahari wa Zari mbona unaona wivuDaah chuki mbaya sana.wewe ni mama dai nn mpaka uumie hivyo unauhakika kama ni wake?
Tushabikie miziki yao na si tuumizwe na mambo ya gizani usiyo kua na uthibitisho nayo .nakuelewesha tu kama wate ni mashabiki wa mziki na si matimu ya kijinga .muziki wao umetufanya tumewajua na si mimba au watoto hayo ni mambo binafsi sana usiumie nayo mkuuWewe ni Zari au muosha mahari wa Zari mbona unaona wivu
Pambana na hali yako mzee.Ni ngoma mbovu kuwahi kuiskia kutoka kundi hilo.
Asilimia kubwa ya wimbo wameishia kutaja majina ya watu na vitu, mara amita bachani sijui zuena, upuuzi mtupu.
Huu utaratibu wa kukopi na kupest kazi za wasanii wenzako kwa mgongo wa ubunifu ni dalili za mfa maji, so haishi kutapatapa.
Nimeona karibia wote mmevaa mawigi kichwani, nani kawaambia sisi vijana wa zamani tulikuwa tunafuga nywele wote.
Hayo ni machache kati ya mengi niliyoyaona kwenye hii bolingo yenu
NB: Povu ruksa ili lisiwe la omo na mkimind sana vimbeni mpasuke.
Kuku ni kuku tu jogoo jina
Dah !!! Nilikuwa sijaiona video ...jamaa ni very creative aisee.....Beef za kijinga [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]Ni ngoma mbovu kuwahi kuiskia kutoka kundi hilo.
Asilimia kubwa ya wimbo wameishia kutaja majina ya watu na vitu, mara amita bachani sijui zuena, upuuzi mtupu.
Huu utaratibu wa kukopi na kupest kazi za wasanii wenzako kwa mgongo wa ubunifu ni dalili za mfa maji, so haishi kutapatapa.
Nimeona karibia wote mmevaa mawigi kichwani, nani kawaambia sisi vijana wa zamani tulikuwa tunafuga nywele wote.
Hayo ni machache kati ya mengi niliyoyaona kwenye hii bolingo yenu
NB: Povu ruksa ili lisiwe la omo na mkimind sana vimbeni mpasuke.
Kuku ni kuku tu jogoo jina
Nyimbo wameimba kama mashoga
Wamezaa mawigi wote na wamebinua midomo ile mbaya
Hawana lolote hao
Yerico uyo anaejifanya jasusi wakati ni zero brain
bado kurudia mwana ya king kiba hawa jamaa[emoji12]Salome - Saida Karoli
Eneka - Davido
Zilipendwa - Matonya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]