Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

hakuna kama suduce me by ali kiba kama huamini meza wembe guys we are to love good music maisha ya stress ya nini kama mashabiki wa arsenal FC jaMANI KWELI KUNA WATU WANAPENDA KUJIPA MAISHA MAGUMA NA YANADEVELOP HARD FEELINGS
MY REGARDS
 
diamond na ali kiba there are two very different entities jamani we are to accept that mimi kiukweli ali kiba belongs to his own planet ana music wake kabisa na pia music ni good music ndio maana unaishi muda mrefu afu pia kuna watu wanaimba very good music sema hawapati airtime kama aslay,beka,ben paul,belle 9 I think you will understand what i mean by saying good music diamond anaimba nigerian music nandio ana copy na kupest huko
mfanoo south africa they have their own music thats why kule music wa nigeria hata hawaujui huys nadhani mtakuwa mumenielewa
 
Hii ngoma ni noma aisee, kma cio mtu wa team yoyote uta nielewa nnacho kisema
 
Wimbo wa kawaida. Ule wa Diamond na team yake yote (Zilipendwa) wa kawaida sana as well. Vijana wanaishiwa taratibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom