Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

KUHUSU "SEDUCE ME"

☆ Wimbo umetulia,unakupa mood ya kurelax...hakuna makelele na upayukaji wa kinaijeria

☆ Production nzuri hasa eneo la sound mixing

☆ Video nzuri, simpicity, originality, colour toning....clear resolution....less boobs, nudity, marangi rangi na ming'aoming'ao isiyo ya lazima

☆ Wimbo una mada inayoeleweka.

☆ Probable critisism kwa wimbo huu ni kwenda tofauti na upepo uvumao kwa sasa...uandishi wa kinaija..beat ya kinaija...na slow tempo...watu sasa wanapenda nyimbo zenye kasi ya singeli or something close enough to that...ndiyo maana wengi wanawaza itakua vipi Kiba akifanya show CCM Kirumba ataamsha mashabiki na wimbo huu? Mziki ni vibes tu ndiyo maana haishangazi kuona R. Kelly anaamsha mashabiki kwa kwaya yake ya "Storm Is Over" au The Passengers na "Let It Go".

☆ Athari za team zinafanya kusiwepo na uhalisia wa judgement za kazi za sanaa hasa kwa Daimond na Ali Kiba, kwenye uwepo wa team basi hutokea kitu kinaitwa ligi...na lengo la ligi ni team flani kua mshindi..sasa nani awe looser? Hapo ndipo kazi ilipo
 
Eti zilipendwa... nyimbo mwanzo hadi mwisho ni kupayuka payuka tu, nyimbo huwezi kusikiliza huku hujala, nyimbo haina maudhui ya maana, nyimbo nayo imetoka jana lakin na yenyewe imekua ZILIPENDWA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUHUSU "SEDUCE ME"

☆ Wimbo umetulia,unakupa mood ya kurelax...hakuna makelele na upayukaji wa kinaijeria

☆ Production nzuri hasa eneo la sound mixing

☆ Video nzuri, simpicity, originality, colour toning....clear resolution....less boobs, nudity, marangi rangi na ming'aoming'ao isiyo ya lazima

☆ Wimbo una mada inayoeleweka.

☆ Probable critisism kwa wimbo huu ni kwenda tofauti na upepo uvumao kwa sasa...uandishi wa kinaija..beat ya kinaija...na slow tempo...watu sasa wanapenda nyimbo zenye kasi ya singeli or something close enough to that...ndiyo maana wengi wanawaza itakua vipi Kiba akifanya show CCM Kirumba ataamsha mashabiki na wimbo huu? Mziki ni vibes tu ndiyo maana haishangazi kuona R. Kelly anaamsha mashabiki kwa kwaya yake ya "Storm Is Over" au The Passengers na "Let It Go".

☆ Athari za team zinafanya kusiwepo na uhalisia wa judgement za kazi za sanaa hasa kwa Daimond na Ali Kiba, kwenye uwepo wa team basi hutokea kitu kinaitwa ligi...na lengo la ligi ni team flani kua mshindi..sasa nani awe looser? Hapo ndipo kazi ilipo
Mi nadhani ukiindoa u team mziki wote ni mzuri tu inategemeana namsikilizaji anapenda kuskiliza nn..,..ukisema eti beat za niger zimepitwa nawakati utakua muongo maaan mpaka this time nigeria ndio wanaoongoza barani Africa na ndio wanaoiwakilisha Africa vzur international kwa sasa...

international ipi hao wa-nigeria wanafanya vizuri? kila siku diamond ana wabuluza kwenye tuzo au mimi sijakuelewa
 
Naona team Kiba mmepanic kwa hujuma anazowafanyia mondi.
 
My Take:

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.

mwambie Mama yako akae kimya mwaka nae atoe wimbo!
 
Baba sasa hivi ni zinasoma 500,000 na kuendelea
Mpaka siku ya leo iishe itakuwa imesoma milioni 1 na kuendelea
Hii inaenda kuvunja rekodi....kote kaweza kuanzia jina la wimbo, mashairi, melody mpaka video.. hii itaangaliwa duniani kote
 
Kiukweli kwa alichotuonyesha kiba leo katika video yake mpya ya Seduce me ni majanga matupu

1.Video mbovu

2.Rangi kwenye video hazieleweki yani hovyo hovyo

3.yupo rafu tu mchafu mchafu hadi kuangalia kichefuchefu

4.nyimbo ni mbovu haijawahi tokea kiba kutoa nyimbo mbovu hivi

Alikiba ametutia aibu sio kwa nyimbo kimeo hivi tena umekaa mwaka mzima ndio umeleta balaa hili?

Sent using Jamii Forums mobile app

Utakuwa dada ake diamond...si kwa kuchefukwa huku kama vile ulimtuma/kumpa hela ya video!

brain is the beautiful part of the body.
 
Acha nongwa, unajipa stress tu...

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Utakuwa dada ake diamond...si kwa kuchefukwa huku kama vile ulimtuma/kumpa hela ya video!

brain is the beautiful part of the body.
Yaani katolea povu huyo! Sijui kama kula amekula.. Hahaaaaah

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Back
Top Bottom