Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Whata hell
Basi acha tuipe muda tuoneUjue mzikii usifanyie njaa fanyia kipaji kama davido ki ukwelii hii nyimbo haina makosa na itakuwa kubwa sanaaa
Kweli mkuu..............Kimya kingi, mashabiki wake walikua na hamu ya kuona kiba katoa nyimbo
Ila kwa hii watakua disapointed kweli
Let it flow
Ya itakuwa kubwa sanaaa ilaa wabong ushabikii mwingii sanaaa ndo tatizoBasi acha tuipe muda tuone
Let it flow
Wamezoea singel haoUjue mzikii usifanyie njaa fanyia kipaji kama davido ki ukwelii hii nyimbo haina makosa na itakuwa kubwa sanaaa
Kwan team cinderella hawapo leo jfHv huu wimbo ni mbaya au thread imejaa team domo.
Video haiko poa.
Philips X2560
Yani kiukweli sionyeshi uso wangu nje wiki yote hii, yani sijui itakuaje mana si kwa aibu hiiMbona upo huo
Tembo hulitia maji.......