Hacktivist
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 249
- 87
Hahahaha .....Bila shaka hii itakuwa ni demo tu. Tusubir nyingine
Hahahaha .....Bila shaka hii itakuwa ni demo tu. Tusubir nyingine
Me nadhani sio mbaya ila ni ya kawaida .....MBAYA.
Umenena vyema.....mmmh siyo niliutegemea japo kajitahidi
Nashkuru kwa kunisaidia mkuu! Maana hiyo nyimbo nilikuwa sielewi,bongoflava sio bongoflava,nikawa najiuliza asili yake wapi? Yawezekana jamaa ametoa kwa ajili ya mashabiki wa nje,kama anavyofanya diamond.maana kuna nyimbo nyengine diamond anatoa ndani ya nchi hazieleweki lkn nje ya nchi zinapata airtime ya kutosha na kupendwaNyimbo ya kisouth America..bomba balaa
Ujue mzikii usifanyie njaa fanyia kipaji kama davido ki ukwelii hii nyimbo haina makosa na itakuwa kubwa sanaaaKimya kingi, mashabiki wake walikua na hamu ya kuona kiba katoa nyimbo
Ila kwa hii watakua disapointed kweli
Let it flow
Tulia wewe mshamba.Beat mbovu mistari mibovu haina ufundi amejisifu kitoto dah
povu povu povu hahahahahahaTulia wewe mshamba.
To accomplish much you must first lose everything..
Kiukweli kwa alichotuonyesha kiba leo katika video yake mpya ya Seduce me ni majanga matupu
1.Video mbovu
2.Rangi kwenye video hazieleweki yani hovyo hovyo
3.yupo rafu tu mchafu mchafu hadi kuangalia kichefuchefu
4.nyimbo ni mbovu haijawahi tokea kiba kutoa nyimbo mbovu hivi
Alikiba ametutia aibu sio kwa nyimbo kimeo hivi tena umekaa mwaka mzima ndio umeleta balaa hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona upo huoEmbu mashabiki wa kiba tutengenezeni uzi wetu wa timu kiba, tujue tunamsaidiaje kiukweli anatutia aibu sana mtaani, yani anatuangusha vilivyo. Tunajtahidi kumpa sapot lakni wapi. Embu tonane tujue anakosea wapi.
Uso wangu sijui hata niuweke wapi aibu hii.