Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Eneka inakimbiza kinoma kwenye ma top ten. Aje ilikuja na kiki za sony ndo maana ilibmba nakupa week tu ngoma chali mtaikataa tena si ndo zen maana kajiandae na aje remix mshazikataa siyo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati aje inatoka ulikuwa unajua ina kiki za sony
We endelea kumsifia uongo bwana wako dimond tu

Habari ya mjini ni SEDUCE ME
 
Jamani mliozoea singeli Seduce hamuwezi kuuelewa. Kiba yuko kimataifa zaidi ana ladha ya pekee yake hacopy Nigeria.
 
Back
Top Bottom