Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Anakera sana huyu mbwiga!
ANA KIPAJI KIZURI ANA SAUTI NZURI ANACHEZA VIZUR ANAPENDWA KAMA ARSENAL
ANASHINDWA NINI KUMSUMBUA NASEEB?

yani anakaa tu huko Tabata akiitwa itwa Kiba Kiiiba!
akapinda pinda midomo kama anjifu!
anaona kafiiiiiiika!
YANI ANAKERAAAAA!
[emoji13] [emoji13] labda atajufunza


Umejibu moja bado moja.. pengine la muhimu zaid
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kaimba nyimbo nzuri kuliko zote alizowahi imba diamond kwa mwaka huu, ila ubovu wa huu wimbo unaponzwa na video mbovu chini ya kiwango, wengi hawajui kutofautisha uzuri wa audio na video ndio maana wanasema mbaya vinginevyo ni chuki ya timu ya chibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha yani bora kusikiliza papa ya Gigy kuliko hii taka taka aliyoileta Alikiba.
Mimi si shabiki wa Alikiba kabisa lakini kuna nyimbo zake ni nzuri nazikubali kama Aje,Cheketua,Lupela...
Kwakweli Alikiba anapaswa kuendelea kuamshwa na Diamond ili apate show lake kwa muziki tuu hana ubavu.
Kwann nyimbo isiwe mbaya ikiwa mchambuzi wa nyimbo ni kutoka CCM?
 
Mkuu kwani nayo ni nyimbo.? Nahic ma director wa siri ya mtungi ndio walioshoot. Dem mwenyewe mbaya skeleton hata ebitoke ana afadhali
Lakn sio ya kuiba kama Eneka
 
[emoji13] [emoji13] labda atajufunza


Umejibu moja bado moja.. pengine la muhimu zaid
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nachukia sana ujue!
sasa ukimkuta anajiandika FOREVER KING!
YANI UNATAMANI UMPASULIE YAI VIZA !
anuke tu labda akioga maji baridi atashtuka usingizi aliolala!

WITH THESE LOYAL MASHABIKI ALONAO!
HAWATOLEI CHOCHOTE CHA MAANA!
AKITOA VIDEO KAMA YA KUMUNYO!
AKIIMBA KAMA TUNAMUOMBA ATUPE FUNGUO ZA PEPO!
unamfanyaje huyu mtu kama sio kumpasulia yai viza la kenge tu!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
hivi mtu anayesema hii nyimbo ni kali hivi anajua muziki kweli..tuache unafki kiba hapa katoa boko..aje ni ngoma kali ila hii hapana aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kwa ngoma alotoa alikiba means ameandika mwaka mzima masikini... Lakin imekuja kutoka daaah hakianani.. Kumfananisha Diamond na kiba ni kosa kubwa mnooo alikiba afananishwe na Aslay tu no way out

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichagua kuwa team chai Jaba

Lazima ujitoe akili

Utamfananishaje Ali na Aslay?
 
95426e01bd43da5e2721d09984b5b754.jpg
 
nachukia sana ujue!
sasa ukimkuta anajiandika FOREVER KING!
YANI UNATAMANI UMPASULIE YAI VIZA !
anuke tu labda akioga maji baridi atashtuka usingizi aliolala!

WITH THESE LOYAL MASHABIKI ALONAO!
HAWATOLEI CHOCHOTE CHA MAANA!
AKITOA VIDEO KAMA YA KUMUNYO!
AKIIMBA KAMA TUNAMUOMBA ATUPE FUNGUO ZA PEPO!
unamfanyaje huyu mtu kama sio kumpasulia yai viza la kenge tu!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Swali hili ukijibu

Kuanzia Leo naanza kumshabikia Chaijaba

Mbona mmeiba nyimbo ya DAVIDO?
 
Back
Top Bottom