tehe atatuaibisha huyu, ndoa hana,huyo rita wake aliporwa na masha basi kelele mtindo mmoja, anaonekana ni mtu wa visasi sana.namshauri aachane na siasa
tehe atatuaibisha huyu, ndoa hana,huyo rita wake aliporwa na masha basi kelele mtindo mmoja, anaonekana ni mtu wa visasi sana.namshauri aachane na siasa
sasa shemu si unipage maujuzi ya kuweka hiyo kitu ili niwe nasave mapicha yako ndugu yangu mbona unanibania lakini?ebu achia hayo maujuzi tafadhali au unaogopa utakumbuka mengi ulivyo kopa na kusingizia umeacha/umesahau bar
Huna habari kwamba anaishi na mwanamke, japo hawajafunga ndoa?
Hivi huitaki kabisa sura yako?
Halafu uhamishe madata hayo, ila kumbuka kuacha orijinal kwenye kasimu ka zamani. Maana nionavyo mimi, siku yoyote wenyewe watakachukua hako kasimu kao, wakakauze kwa buku-jero mtaawa pili!
Halafu unakadhalilisha hako katoto kwenye avatar yako, maana kamekaa HAPO toka saa 12 ninapowasha JF, hadi saa hizi, wala sijaona ukikanyonyesha ile "kole", yaani 'masiwa' kwa Kimaasai.