Wakuu msaada Nokia N95 8GB

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu nawasabahi!!

Jana tu nimebahatika kujikongoja na kununua kasimu ka nokia N95 8GB kwa kweli bado kapya kabisa japo kanawezekana kakawa kakichina lakini kikubwa ni mawasiliano kwa sababu hakuna jinsi ya kukwepa dhahama ya wachina dunia inabidi tukubali tu.

Sasa nilikuwa nataka kuhamisha mapicha na mataarifa mengine kutoka kwenye kasimu kangu kazamani ili kaje huku kwenye hii ambayo ina 8GB lakini kila nikijaribu kuhamisha inaniambia kuwa Storage not Ready.

Wakuu nisaidieni jinsi ya kutatua tatizo hili au ndo yaleyale?
asanteni
 
hongera mkuu kwa kununua N-Series!,
mi nilikuaga nayo nikasahau bar bana, duh sina hamu natumia katochi now!.
 
hongera mkuu kwa kununua N-Series!,
mi nilikuaga nayo nikasahau bar bana, duh sina hamu natumia katochi now!.

asante shemu,

sasa shemu si unipage maujuzi ya kuweka hiyo kitu ili niwe nasave mapicha yako ndugu yangu mbona unanibania lakini?ebu achia hayo maujuzi tafadhali au unaogopa utakumbuka mengi ulivyo kopa na kusingizia umeacha/umesahau bar
 
Kama ni original then umepatia:

KAMA NI KAKICHINA:N95 8GB tatizo ni kwamba wachina wasanii sana hyo waliyokuweke hapo 8GB sio ya kweli ni image tuu.wana map say 256MB to 8GB sasa unapojaribu kuweka madata yakizidi 256 tuu inasema disk not ready or no enough space.ukibaki kuishangaa utaamua kuformat ukiiformat tuu hiyo memory inajirudisha kwenye 256MB na ile andiko la kuigiza 8Gb linafutika kabisa.

Hi ni sawa kabisa na memory stick(_flush disk 0za kichina ,mnatapeliwa eti 10Gb kwa elfu 15 no its imposible.wachina wanakupa hata 128Mb wana i map to 10Gb we utaishtukia tuu pale utakapoweka madata yapitilize hiyo 128 utaskia kamlio ntiiiiiiiiii disk is full.format then utaona total space ya disk yako inakuwa 128 badala ya 10Gb.

Kuna siku nilikuwa china,nikatawa nahtaji ka ipod ka sony.mchina mmoja akaniaonyesha ipod ya kichina nikamwambia mimi nataka sony basi akaingia ndani akatoka na lebel akabandika ile ipod kwa juu akaniambia tayari ni sony.Tangu siku hiyo siwaamin wachina NUKSI TUPU.
 
Kuna siku nilikuwa china,nikatawa nahtaji ka ipod ka sony.mchina mmoja akaniaonyesha ipod ya kichina nikamwambia mimi nataka sony basi akaingia ndani akatoka na lebel akabandika ile ipod kwa juu akaniambia tayari ni sony.Tangu siku hiyo siwaamin wachina NUKSI TUPU.
Ha ha ha Hii kali mkuu yani kirahisi rahisi ivyo!!
 
jamani kwa hiyo ndo mumeamua kutonipa msaada nini?hakuna hata mwenye software hiyo ili anitumie niupdate kupitia kwenye pc yangu?

Jamani nisaidieni?
 
jamani kwa hiyo ndo mumeamua kutonipa msaada nini?hakuna hata mwenye software hiyo ili anitumie niupdate kupitia kwenye pc yangu?

Jamani nisaidieni?

shemu vipi bana!, umenunua wapi N-series haina hata support CD yenye softwares??.
wat I know kama ungekua na CD then simply unakopi kutoka moja na kuweka kwenye PC then from PC to another one.
hebu jaribu hapa shemu,

With PC Suite you can also backup contacts, calendar and sync your email.

Download Nokia PC Suite
 
Duh kumbe Chaku una mkwanja mpaka ukanunua Mnokia wa ajabu sisi tunatumia za tochi hizi wanaita eti za walinzi sijui.
 
Ebu baelezee kanaweza kakawa ka kichina una maana gani,kwani hujui kutofautisha au ndo kusema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom