Advice me please.I need help ,nadhani nina addiction ya JF

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,235
Waraka kwa wote wenye mapenzi mema,
Toka niifahamu JF mpaka sasa,imekuwa ni rafiki wangu wa karibu.Nikifika Ofisini asubuhi kitu cha kwanza ni kuangalia JF kumejiri nini.Hata kama nina kazi nawezajisahau na kuendelea na JF.Kwanza naogopa kuwa fisadi kwenye kipengele cha muda wa watu.Pili nitashindwa kubalance muda kufanya shughuli zangu nyingine za maendeleo hali hii ikiendelea.
Wakati mwingine najitahidi kuipotezea nisifungue najikuta nashindwa.
Nifanyeje?na wewe mwenzangu unafanyaje au huu ulevi ni wangu tu peke yangu.
 
Hahahaha! Mchumba bana? Mbona mengine husemi? Si kweli kwamba kama si JF tusingechumbiana?
 
Hahahaha! Mchumba bana? Mbona mengine husemi? Si kweli kwamba kama si JF tusingechumbiana?

Wikiendi inasemaje kwanza?hata humisalimii?
Halafu mengine yapi my dia?Mbona unataka kumwaga mchele kwenye kuku wengi?Mimi kinachonitia hofu kitumbua kisijeingia mchanga!
 
Wikiendi inasemaje kwanza?hata humisalimii?
Halafu mengine yapi my dia?Mbona unataka kumwaga mchele kwenye kuku wengi?Mimi kinachonitia hofu kitumbua kisijeingia mchanga!

Sorry darling. Hujambo mamii? Leo wikiendi nimewaachia wapwa. Full nuksi. Nimemkwangua mtu mitaa ya kati tangu asubuhi natoa rushwa ili nisepe matatizo.Yani leo JF uko wewe na mimi tu kwenye kile chama chetu. Hahaha! Wapwa na mabinamu wanajivinjari. At least nna uhakika mchumba wangu uko salama mida hii. Hahahaha!
 
Pole kwa yaliyokukuta.Ninakuombea nuksi iondoke.Na mie ngoja niende nyumbani nikapumzike.Si unajua kazi na dawa!
 
Nisubiri basi tuondoke wote. Lift bana.

Mkuu Chrispin/Ziondaughter,

Sasa mbona mmeibadilisha post kuwa uwanja wa personal contacts kati yenu na kutoka nje ya post yenyewe. Mmetunyima nafasi ya kuchangia hoja.

Ukweli na mimi JF imekuwa kama ndio kila kitu kwangu kwani nikiamka tu hata kabla sijapiga mswaki lazima kwanza nifungue JF kuangalia ni kipi kipya kipo huko kabla sijaendelea na mengine. Ikitokea nikakuta haipo hewani, tayari siku yangu inakuwa imeharibika.

Ukweli ni kwamba kwa wengine JF imekuwa ni sources of information kiasi cha kwamba isipopatikana basi kila kitu kinakwenda kombo. Nafikiri la maana tuendelee kuwasupport mods financially ili waendelee kulisukuma gurudumu la JF.

Tiba
 
Mkuu Chrispin/Ziondaughter,

Sasa mbona mmeibadilisha post kuwa uwanja wa personal contacts kati yenu na kutoka nje ya post yenyewe. Mmetunyima nafasi ya kuchangia hoja.

Samahani mkuu. Unajua sometimes uchumba bana. Hahaha! Pole na wewe kwa tatizo kama lililomkuta mchumbangu.
 
Pole shem kwa hiyo vp unataka kuikacha JF maana wengine iwa wanatangaza kukacha lakini utakuta wanachungulia kama kawa.
 
Samahani mkuu. Unajua sometimes uchumba bana. Hahaha! Pole na wewe kwa tatizo kama lililomkuta mchumbangu.

Kiongozi mbona hadi sasa upo upo au ndo wakamata ndovu na huku upo JF...ndo addiction yenyewe!

Msalimie shemeji ZD. Kugonga weekend noma-malizaneni tu juu kwa juu:D
 
Kiongozi mbona hadi sasa upo upo au ndo wakamata ndovu na huku upo JF...ndo addiction yenyewe!

Msalimie shemeji ZD. Kugonga weekend noma-malizaneni tu juu kwa juu:D

Hahahaha! Kiongozi bana. Umegonga ikulu kinoma. Hapa natafuna Valeur tayari kwa ile kazi yetu. ZD kaenda kuandaa makao.
 
Hahahaha! Kiongozi bana. Umegonga ikulu kinoma. Hapa natafuna Valeur tayari kwa ile kazi yetu. ZD kaenda kuandaa makao.

hahaha...kiongozi usisahau raough rider..nadhani ndo ilishinda lile shindano letu!

Mi leo nimetulia na cocktails tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom