Off day ya kesho utata mtupu

Off day ya kesho utata mtupu

Na wale wenye makampuni bibafsi wamelizwa na rais mpenda ngoma.
Huwezi kuwalazimisha wafanyakazi waje kazini wakati rais ameshaamua.
 
Hahahaaa...virais vya banana republics bana!

Vinapenda sana ujiko.

Kama mtu anaapishwa kwa nini watu waache shughuli zao?

Marais wenye majukumu makubwa kama [POTUS] wakiapishwa hakuna anayeachaga kufanya kazi na hakuna cha siku ya mapumziko.

Sasa mapumziko ya nini kesho?

Ama kweli CCM ni ile ile.

Mkuu ni kama jamaa haamini kama siku itaisha salama!

Tangu kuujua ulimwengu hii ni mpya sana kwangu! Natafuta logic behind this siioni kabisa!

Only in Tanzania
 
Acha potosha. Mitihani ina wasimamizi.
Walimu wengine wako off.
 
Hutaki, nenda kazini, bosi ndo keshaamua, wajipange kama imeingiloa ratiba zao!
Wajipange kila mtu kivyake? Kwa hiyo shule nyingine wakiamua kujipanga kwa kufanya mtihani kesho, na shule nyingine ikajipanga kuufanya mtihani huo huo siku nyingine let's say Jumamosi, kuna mtihani hapo?
 
Na wale wenye makampuni bibafsi wamelizwa na rais mpenda ngoma.
Huwezi kuwalazimisha wafanyakazi waje kazini wakati rais ameshaamua.

wakwere na wazaramu ni majirani dogoli la kuanza kesho linaisha j2.
 
Hovyo kabisa. Si angeapisha jumamosi au jumapili? Haiingii akilini, yaani watu millioni 53 wanaacha kufanya kazi kisa eti mtu mmoja anaapishwa !
 
Sisi tumekubaliana tuende kazini kama kawaida kwani si mara ya kwanza rais kuapishwa siku ya kszi na kazi nyingine zikaendelea. Kuna mambo mengi tu yana deadline sasa ukiondoa siku ya kesho italeta shida
 
Unaposema kwa nchi masikini kama hii kusiwepo na mapumziko kesho kwa hiyo wewe unapingana na agizo la raisi au unazani kama kesho kazi zikiendelea ndio nchi itakua tajiri acheni kulalama jamani yani nyie kila kitu lawama wewe kama unataka kwenda kazini kesho nenda ili uwe mfanyakazi bora tena nenda na jembe ukalime majani yaliyoota pale nje muda wa kazi ukiisha rejea nyumbani taratiiiiiiiiiibu kama kweli unapenda kazi fanya hivyo mkuu ila sie twalala tu kesho tukisubiri kuapishwa kwa raisi mpya.
 
Cc wajasiriamali hapa ni Kazi mwanzo mwisho lia lia ni akili za kuajiriwa ximewatawala
 
Halafu Jitu linasema Hapakazi tu
Ama kweli ccm ni ileile
 
Kwani sheria za Necta huwa zinasemaje katika ratiba yao? msitusumbue na ukanjanja wenu kila kitu kwenu shida mnakuwa kama wajawazito

Mama yako asingepata ujauzito usingezaliwa. Uwe na busara!
 
Ngoja nimruhusu bodigadi wangu apumzike kesho
 
ninasababu moja tu ya kufurahia off ya kesho:
Nitapata nafasi murua ya kutazama NBA game kati GOLDEN STATE WARRIORS dhidi ya L.A CLIPPERS.
 
Sisi tumekubaliana tuende kazini kama kawaida kwani si mara ya kwanza rais kuapishwa siku ya kszi na kazi nyingine zikaendelea. Kuna mambo mengi tu yana deadline sasa ukiondoa siku ya kesho italeta shida

kweli kabisa kuna kazi nyingine haziwezi kusimama kutokana na umuhimu wake isipokuwa wale wanaofanya malipo kwa njia ya benki kesho lazima waadhirike.
 
Back
Top Bottom