Asiyetaka aende kazini fankuuuuro wazushi wakubwa msio na maana. Haya tuambieni ya ICJ yakoje,malofa wakubwa,mapumbavu wakubwa
mkuu kama wewe ni kiongozi wa familia kwa jazba ya majibu yako hawana chochote cha kuiga kwako..
Asiyetaka aende kazini fankuuuuro wazushi wakubwa msio na maana. Haya tuambieni ya ICJ yakoje,malofa wakubwa,mapumbavu wakubwa
Nashangaa wamevalia njuga hii ishu ya siku moja, wamesahau Easter Holiday. Ni lawama tu kana kwamba kesho wakienda nchi itatajirika.Unaposema kwa nchi masikini kama hii kusiwepo na mapumziko kesho kwa hiyo wewe unapingana na agizo la raisi au unazani kama kesho kazi zikiendelea ndio nchi itakua tajiri acheni kulalama jamani yani nyie kila kitu lawama wewe kama unataka kwenda kazini kesho nenda ili uwe mfanyakazi bora tena nenda na jembe ukalime majani yaliyoota pale nje muda wa kazi ukiisha rejea nyumbani taratiiiiiiiiiibu kama kweli unapenda kazi fanya hivyo mkuu ila sie twalala tu kesho tukisubiri kuapishwa kwa raisi mpya.
Hahahaaa...virais vya banana republics bana!
Vinapenda sana ujiko.
Kama mtu anaapishwa kwa nini watu waache shughuli zao?
Marais wenye majukumu makubwa kama [POTUS] wakiapishwa hakuna anayeachaga kufanya kazi na hakuna cha siku ya mapumziko.
Sasa mapumziko ya nini kesho?
Ama kweli CCM ni ile ile.

kama kweli unapenda kazi fanya hivyo mkuu ila sie twalala tu kesho tukisubiri kuapishwa kwa raisi mpya.
naombeni kujuzwa
Hii off work Ya Kesho Ni Ya Kibaguzi Kwa Maaskari Na Walimu Ama Vipi
Yaan serikali inachokifanya ni kukurupuka tu, Necta ratiba yao inasema kesho mitihani kama kawaida, huku chiko anatangaza kesho mapunziko kwenye nchi maskini kama hii, cjui kashauriwa na nani? au ndio baada ya matokeo ya form 4 kutoka watangaze mtihani ulivuja so tunarudia tena mitihani ya form 4 .HAIKOSAWA.