Ofa kabambe ya mwaka mpya.Wahi sasa,

kampani napenda ila kitu kimoja tu kina nishinda kumeet na stranger ndio taabu sana kwangu..

kila la kheli shostito..

halafu na wewe nakuhitaji sana kwenye mchakato huu.Acha uoga mbona mimi fresh tu?
 
bado mchakato unaendelea,kuwa na subra
Kwavile subra yavuta heri acha nisubirie, jana ilikuwa napokea simu au waliokuwa wanabeep wote nilikuwa nawapigia nikijua tayari nimebahatika! mbona tarehe 31 mbali wakati nataka nijipange?
 
Kwavile subra yavuta heri acha nisubirie, jana ilikuwa napokea simu au waliokuwa wanabeep wote nilikuwa nawapigia nikijua tayari nimebahatika! mbona tarehe 31 mbali wakati nataka nijipange?

hehe kumbe huwa ukibiwa haupigi?lol,we jiandae tu basi nitasogeza nyuma iwe tarehe 30 mwisho.
 
Invitation to Treat... expression of willingness to negotiate...so we can start negotiation as of now...nimeku Pm
 
Back
Top Bottom