Ofa kabambe ya mwaka mpya.Wahi sasa,

hebu fafanua zaidi,inawezekana nilikua sijazaliwa
Ulikuwa Ushazaliwa java live Chat Zina raha Sana hii Jamii sielewi kwanini wameiondoa Live Chat.. na Game Kama Trivia na Uno Radio Music n.k Ilikuwa Raha Sana...

Kabakabana Vipi Ushapona Ugumba? nilisikia unatafuta Mtoto na Hupati eeh!
 
hapo nishakupata.Bado niko kwenye matibabu ndugu yangu
 
hahaha nafasi ni chache au nafasi ni moja tuu? au ndio kusema unataka kuwapa kampani watu
wachache kwa siku hiyo moja? anagalia usijezua songombingo. dah!

hamna songombingo lolote litakalotokea kumbuka kupanga ni kuamua!
 
kampani napenda ila kitu kimoja tu kina nishinda kumeet na stranger ndio taabu sana kwangu..

kila la kheli shostito..
 
Back
Top Bottom