Ofa kabambe ya mwaka mpya.Wahi sasa,

si lazima tu du, tunaeza enda home na kuchill tu - source Nonini

acha umbea mtoto wa kiume.
Sasa nikishapiga vitu vyangu vya mikono juu halafu asinipe si itakuwa balaa tena? Anyways, si utamaduni mwa Mwafrika kunyimana tulivyopewa na Muumba, nakushangaa unavyoshikilia bango wakati Qipouch Manyoya si chako...
 
mbona umeng'ang'ania sana hiyo kitu wewe?
 
Unakumbuka nini na mbali wapi foundation?

Kuna mwalimu mmoja anaitwa Mabagala, alikuwepo Pugu sekondary miaka ya 2000 na kuendelea. Alikuwa mnoko na mkali. Nakumbuka alikuwa anakuja mabwenini saa 12 asubuhi, akikuta umelala anaanza kuchalaza bakora hapo hapo
 
Back
Top Bottom