huu upuuz wa kubadil kila jina la barabara na kuzipa majina ya watu sijui utaisha lini
mkuu ni kutokujiamini,kujipendekeza na kulazimisha kumtukuza mtu! Kwanhni wasitengeneze barabara mpya ambazo hazina majina then wazibatize majina mapya e.g ridhiwan road,miraji road,fastjet road?