Hiyo si tuliambiwa itakuwa dubai ya Tanzania ifikapo 2015 au kabla?
Usiwe na shaka, Serikali yako ni sikivu kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi.
At least baba wa taifa aliwapa wanahistoria wenzake wa kiafrika. Lkn mwenzetu huyu hata barabara hana atleast Mr. Ben analo daraja.
Yangu macho ngoja aje na aondoke, shida za waTz nadhani zitapungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuisha! Waafrika, hivi Obama akienda Sweden and the rest of western europe watadeki barabara!
Atapewa vingi tu
uchokozi huo,Kuna mkwe.re road inakuja na mwanaasha strt!!
Tehe tehe teh.....Atapewa vingi tu
Katika kumuenzi rais wa Marekani barabara ya Ocean (Ocean road) itazinduliwa upya na Barack Obama na itaitwa Barack Obama road
Mie naisubilia Kagame road!!
hivi umesahau wakati Mzee Mwinyi anastaafu urais alipita nchi nzima kuwaaga na kila mkoa ulimzawadia, mfano Kagera nakumbuka tulimpa mikungu ya ndizi, ng'ombe, shamba nk, hivyo hivyo na miko mingine. Alopokuja Dar nakumbuka mzee Kitwana Kondo wakati huo akiwa meya wakamzawadia gari!!! Ndipo watu wakahoji kama kulikuwa na kiwanda cha magari hapo Mzizima! Tulidhani miaka 20 ilitosha kubadilisha akili na fikra za watu lakini kumbe.....Meck sadick kasema hiyo ni kama zawadi ambayo manispaa ya Ilala imeamua kumpa Rais wa Marekani baraka Obama.
Mimi naona wamekosea kufanya hivyo. wangempa kinyago cha samaki sababu samaki ndo ipo kwenye nembo ya Ilala. mia
well said mkuu!umechangia hoja nzuriJana amefika Senegal huyu mpumbavu mwenzenu Obama anaanza kuongelea kuhusu mashoga...Xi Jinping kaja kasign mikataba ya muda mrefu ya kimaendeleo na muda si mrefu tutakua na bandari kubwa East and central Africa pale Mbegani.. wachina wanakuja wanajenga vitu vinaonekana, wamarekani wanaleta wataalamu na washauri briefcase wanachukua $$ zao za misaada wanarudi nazo kwao (kila wakati workshop sijui capacity building, workshop good governance au mradi wa vyandalua badala ya kutafuta vaccine ya malaria yenyewe kwa unafiki wao. Kwneye suala la energy hii symbion inatengeneza Mgwt 200 huu nao utauhita ni uwekezaji madhubuti au upigaji dili tu...haya mambo ya kushangilia watu kwa sababu ya romanticism au symbolism na kusahau reality yamepitwa na wakati..Americans wana maslahi mashariki ya kati, ulaya na far east, huku Africa hawana kitu na should be treated with a deserving contempt.
Unapompa mtu heshima ina maana unakubaliana na fikra zake. Leo Mr Obama amemwambia Rais wa Senegal wafikikirie upya sheria ya ushoga.