Ocean Road kuitwa Barack Obama road

Ocean Road kuitwa Barack Obama road

hawa jamaa wanatupotezea hadhi yetu ocean kuwa barack obama mwisho barabara zote zitapewa majina yao
 
safi sana .. tumechoka kila kitu nyerere....
 
Upuuzi mtupu huyu Kikwete mwenda wazimu nadhani utapoteza historia ya jiji hizo barabara zilikuwa na maana yake lakini yeye kuwapa marafiki kujikomba haya bagamoyo road amempa Kibaki ,kenyata anamzunguka nyuma na kuungana na akina museveni
 
Hivi hatuwezi kuweka vigezo vya kufanya naamuzi kama haya? au inategenea kuwango cha unafiki cha watawala tu.

mbona kipindi cha nyuma mlikuwa hamuhoji barabara kupewa majina ya viongozi...

Obama ni rais wa kwanza ndani ya marekani ambaye amechanganya damu na ya kiafrica, hiyo ni historia ndani ya marekani.. kiomgozi huyohuyo aliyeweka historia tumepata bahati kaja kutembelea nchi yetu .. lazima tuweka ukumbusho bana...

 
Upuuzi mtupu huyu Kikwete mwenda wazimu nadhani utapoteza historia ya jiji hizo barabara zilikuwa na maana yake lakini yeye kuwapa marafiki kujikomba haya bagamoyo road amempa Kibaki ,kenyata anamzunguka nyuma na kuungana na akina museveni


we ndo mpuuzi tena mshen#$% yaani unamuita rais wa nchi yangu mwendawazimu.. pumbavu kabisa wewe.. mtu mwenyewe Dar es salam ni wakuja ..
 
watu wengi mnaopiga kelele hapa DAR ES SALAAM YENYEWE NI WAKUJA .... UTAKUTA MTU ARUSHA SIDHANI HATA HIYO OCEAN ROAD YENYEWE ANAIFAHAMU... ANABAKI KUPIGA KELELE NA KUTUTUKANIA RAIS WETU
 



we ndo mpuuzi tena mshen#$% yaani unamuita rais wa nchi yangu mwendawazimu.. pumbavu kabisa wewe.. mtu mwenyewe Dar es salam ni wakuja ..
Mpelekee hizo salamu, ndio mi wakuja sasa nyie wa.kwe.re. wazaramo na wandengereko ndio wakuja zaidi mumeuuza Kariakoo,magomeni,kinondoni,Ilala,temeke munakimbia vichakani ndio maana Kikwete haoni aibu kufuta historia ya jiji manake mjini mumeacha wahindi,waarabu,wapemba,wachaga,wanyakyusa,wakinga nyie muko machakani ni uendawazimu,miji yote katikati ya miji wamekaa wazawa
 
Mtu mwenye akili hatarajii kuvuna mahindi kwa kulima bhange.

Ukiwa omba omba lazima umsujudie mfadhili wako, ndicho anachofanya professional omba omba wetu wa kimataifa mh. Matonya wa magogoni.

Nasikitika serikali ya ccm imeuza utu wetu, mawaziri wanadharau fedha yetu kwa kuiita pesa ya madafu tena bila kukemewa. Barabara zenye majina ya kihistoria wanadharau historia kwa kubembeleza sifa za kjinga. Baada ya obama kuondoka nchini hatakumbuka jina la barabara bali ni rasilimali kiasi gani atachota kwa faida ya nchi yake Marekani.

Hii ni sababu ingine ya kuiweka ccm kando haraka sana.
 
mpelekee hizo salamu, ndio mi wakuja sasa nyie wa.kwe.re. Wazaramo na wandengereko ndio wakuja zaidi mumeuuza kariakoo,magomeni,kinondoni,ilala,temeke munakimbia vichakani ndio maana kikwete haoni aibu kufuta historia ya jiji manake mjini mumeacha wahindi,waarabu,wapemba,wachaga,wanyakyusa,wakinga nyie muko machakani ni uendawazimu,miji yote katikati ya miji wamekaa wazawa


sasa we wakuja unaifahamu historia ya dar weye! Hebu nyamaza usionekane kituko .... Acha wenye jiji lao wafanye watakavyo ... Mijitu ya bara sijui vipi...

Dr. Jk kasema itaitwa barack obama road basi ndo itakuwa hivyo... Hutaki acha rudi kwenu bara
 
Kama wataita hivyo, wahakikishe wanaitunza kulinda heshima yake, Tusifanya kama ile barabara ya Mandela ilivyombayaaa
 
Tungeibadilisha ile ya Mwai Kibaki road tumpe Obama kwa sababu Kibaki amekuwa kigeu geu
 
Mkuu usiende mbali sijui huko Kigoma....Njoo hapa hapa DSM ya ujio wa huyu Rais ni full majanga...Watu huko Manzese, Posta mpya hawajui familia zao zitakula nn maana vibanda vyao vyote vimevunjwa...

Vimevnjwa 7bu ya Obama au?
 
watu wengi mnaopiga kelele hapa DAR ES SALAAM YENYEWE NI WAKUJA .... UTAKUTA MTU ARUSHA SIDHANI HATA HIYO OCEAN ROAD YENYEWE ANAIFAHAMU... ANABAKI KUPIGA KELELE NA KUTUTUKANIA RAIS WETU

Acha propaganda za kibaguzi, wote ni watanzania
 
Back
Top Bottom