Ocean Road kuitwa Barack Obama road

Ocean Road kuitwa Barack Obama road

Bora wangeita MWANAMALUNDI ROAD😛ainkiller:
Hivi mashujaa wa kiafrika hawakumbukwi hata kidogo, huyu Mwanamalundi alikuwa mtu maarufu sana katika Historia ya Usukuma. Huyu jamaa angekuwepo hadi leo, angeweza kuwanyooshea kidole mafisadi na wakakauka hapo hapo.
 
Wewe mtoto wa Bavicha hujui chochote kaa kimya.

Unaijua barabara ya Nkuruma? Unaijua barabara ya Lumumba? Unaijua barabara ya Rwagasore? Unaijua barabara Kenyatta? Unaijua barabara ya Nkomo? Unaijua barabara ya Azikiwe? Unaijua barabara Sam Nujoma? Unaijua barabara ya Indira Gand?

mkuu ritz kama sijakosea nkrumah na indira gandhi ni mitaa na siyo barabara kama unavyosema unless hakuna tofauti kati ya mtaa na barabara
CC figganiga,miss strong,blutooth
 
Kama huko kote raisi wetu anapoendaga anapewa barabara basi ungekuta ma fly over ya new york,london na beijing yanaitwa kikwete highway. Sisi hata jalala linaloitwa kkwete hamna ulaya sijui tutafika?!
 
Hii nayo ni hoja ya kisiasa? jifunzeni kuweka habari zenu mahala panapo stahili! Mods tafadhalini, ipelekeni jukwaa husika nalo ni habari na hoja mchanganyiko.
Usiwafundishe watu kazi, we kiazi, jiandishi zima la habari, kumbe Mburula tu. Katumike Lumumba,
Unadhani siasa ni kumuongea dr Slaa tu!
Na imepata wachangiaje kibao kuliko mi thread yako kike na majungu!
 
mkuu ritz kama sijakosea nkrumah na indira gandhi ni mitaa na siyo barabara kama unavyosema unless hakuna tofauti kati ya mtaa na barabara
CC figganiga,miss strong,blutooth

Nkrumah ya wapi unaiongelea ya Mwanza au Dar es Salaam?
 
ni utamaduni wetu kuwaenzi viongozi wa kigeni kwa kuzipa barbr zetu majina yao. kama kuna wa kulaumiwa ni muasisi wa mtindo huu mwalimu nyerere. dar yote mwalimu aliijaza majina ya swahibu zake akina nujoma, nkrumah, lumumba, kaunda, kenyetta, luthuli, azikiwe, samora...... kanchi haka katamu! nyerere halaumiwi bwana! tehtehteh! jk kaendeleza utamaduni wetu
 
Unapompa mtu heshima ina maana unakubaliana na fikra zake. Leo Mr Obama amemwambia Rais wa Senegal wafikikirie upya sheria ya ushoga.
 
Hivi hakuna sheria iliyopo ambayo inapaswa kufuatwa kabla ya kuamua kubadili au kuupa mtaa jina? Tunao watu wengi sana watanzania wanaostahili heshima kiasi cha kupewa majina ya mitaa na barabara zetu ili tuwaenzi, hivi hawa viongozi wa Tanzania tumewaokota wapi? Sehemu ninayoishi mimi majina ya mitaa na barabara wamepewa watu mashuhuri kulingana na hisoria ya nchi yao. Kuna waandishi maarufu walioleta sifa kwa nchi, wanamichezo, watu waliopigania uhuru na demokrasia kwa nchi hii, watu ambao hata vizazi vijavyo vitawakumbuka kwa mchango wao kwenye historia ya mahali hapa. Majina mengine ni kama hayo yanayotokana na mahali barabara ilipo, mfano hiyo Ocean Road. Bahari ya Hindi bado ipo na itaendelea kuwepo, ndiyo asili ya jina la barabara hiyo... Hivi ukiwa diwani basi ukiamua hata kumpa mkeo jina la barabara imekuwa ruksa?

Kiongoz wa tz akilala akashauriana na mke wake kesho inakuwa sheria
 
Tumerogwa, si bure!

kama kuna alieturoga basi ni mwalimu nyerere. ni utamaduni wetu kuwaenzi viongozi wa kigeni kwa kuzipa barbr zetu majina yao. kama kuna wa kulaumiwa ni muasisi wa mtindo huu mwalimu nyerere. dar yote mwalimu aliijaza majina ya swahibu zake akina nujoma, nkrumah, lumumba, kaunda, kenyetta, luthuli, azikiwe, sokou toure, samora...... ka nchi haka katamu! nyerere halaumiwi bwana! tehtehteh! jk kaendeleza utamaduni wetu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wewe mtoto wa Bavicha hujui chochote kaa kimya.

Unaijua barabara ya Nkuruma? Unaijua barabara ya Lumumba? Unaijua barabara ya Rwagasore? Unaijua barabara Kenyatta? Unaijua barabara ya Nkomo? Unaijua barabara ya Azikiwe? Unaijua barabara Sam Nujoma? Unaijua barabara ya Indira Gand?

Hao ni wakomboz na wapgania uhuru wa Afrika,je Obama ni nani?
 
Hivi hii jadi ya utumwa itaendelea mpaka lini? Kila akija mgeni basi barabara zinabadilishwa majina, kwani JK anapokwenda Marekani na nchi zingine zote ameshawahi kupewa hata kichochoro? Tumezidi kujidhalilisha kila kukicha. Hilo jina lina historia yake likimaanisha barabara inayopakana na Bahari (ya Hindi). Juzi tu jina la barabara ya Bagamoyo ya Zamani (old Bagamoyo Road) lilibadilishwa na kuwa Mwai Kibaki... Kwa nini kama wanampenda sana huyo Obama wasijenge barabara mpya wakaiita Obama Road? Na hospitali ya Ocean Road, hospitali kubwa ya kwanza kujengwa hapa Dar Es Salaam nayo sasa itaiwa Barack Obama Hospital? jk na serikali yako mnatia kichefuchefu... halafu mnatuambia watanzania hatuna uzalendo, uzalendo utoke wapi wakati mnauza mpaka barabara? Shame on you...
Angalia vizuri barabara zhizi za Mombasa utaona jina la Nyerere. Vp na wakenya nao wameiuza hiyo barabara.

l-mombasa.gif
 
Hahhaaah.
Mkuu Kiranga, ndio nyie mliozaliwa Ocean Road halafu kitovu kikazikiwa baharini sijui.
BTW, nadhani jina la hospitali yenu litaendelea kubaki hivyo hivyo. So mutaendelea kuwa wa mujini tu.

Kuwa wa mujini si issue.

Issue ni kubadili jina.

Granted, even Istanbul was once Constantinople, New York once New Amsterdam and Mumbai once Bombay, Uhuru was once Kitchwele, but these name changes depicted significant historical trends.

Au ndo bado tunavalia kibwaya "first "black" president of the USA" ?
 
kama kuna alieturoga basi ni mwalimu nyerere. ni utamaduni wetu kuwaenzi viongozi wa kigeni kwa kuzipa barbr zetu majina yao. kama kuna wa kulaumiwa ni muasisi wa mtindo huu mwalimu nyerere. dar yote mwalimu aliijaza majina ya swahibu zake akina nujoma, nkrumah, lumumba, kaunda, kenyetta, luthuli, azikiwe, sokou toure, samora...... ka nchi haka katamu! nyerere halaumiwi bwana! tehtehteh! jk kaendeleza utamaduni wetu

At least baba wa taifa aliwapa wanahistoria wenzake wa kiafrika. Lkn mwenzetu huyu hata barabara hana atleast Mr. Ben analo daraja.
 
Back
Top Bottom