awp
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,711
- 603
kuelekea wapi mkuu? unahitaji ulinziNilikuwa napita njia tu wakuu!
kuelekea wapi mkuu? unahitaji ulinziNilikuwa napita njia tu wakuu!
Ipo siku moja ya fly over za New York city itapewa jina la Jakaya Kikwete.
Ulitaka iandikwe vichaa km akina sugu, lema na msigwa??
Angalia vizuri barabara zhizi za Mombasa utaona jina la Nyerere. Vp na wakenya nao wameiuza hiyo barabara.
View attachment 99958
Katika kumuenzi rais wa Marekani barabara ya Ocean (Ocean Road) itazinduliwa upya na Barack Obama na itaitwa Barack Obama road![]()
Source: ITV Habari
Hii imekaaje?
Sisi tuendelee kuita ocean road tuone
hahhaaa ni kweli kabisa, yaani barabara inaelekea Ikulu halafu unaipa jina la Rais mwenzako, haina tofauti na wale walioandika Obama-Raisi wa Tanzania
Sisi tuendelee kuita ocean road tuone
Sisi tuendelee kuita ocean road tuone
si afueni iwe obama road kuliko andrew chenge road/ anna makinda road/ mbona sijaona george bush road
Mkiambiwa kuna kichwa cha nazi kwenye lile jengo mnabisha.