Katili zaidi ni Osama.
Be specific and dare to talk openly. Nani huyo Bwana wao wanayemtumikia?sera na ufisadi kuridhisha corporations na mafisadi wanaowasupport wakati wa uchaguzi ndiyo hudictate maamuzi ya viongozi wengi. wote hao wawili Bush and Obama wanamtumikia bwana mmoja
Umemwona na umemtambua eeenh!!!Offpoint...unapenda kwenda nje kwasababu ya kale kachuki kako aise utakufa kwa kihoro
anamaanisha obama -yaani osama=obamaKatili zaidi ni Osama.
like the father, like the son. wote maharamia wakuuWadau,hvi kati ya hao watu wawil hapo juu nani ni katili kuliko mwenzie?maana tumeshuhudia Bush alikua ana vurugu nyingi lakini hakuwahi kuua viongozi wakuu wanaoshukiwa kwa tuhuma mbalimbali,huyu ndugu yetu obama yeye hana maneno mengi ila actions zake tunazishuhudia wote.
servants of God indeed!!!!! thank you for see that they do protect the world from terrorism. yes, hold on and wait the turn for your man to cease performing, that will be the day you will curse the birth of Obama and the so called Bush and rally the nation to return the mosquito nets you are enjoying now.They are true servant of god as they protect the world frm terrorists
they are true servant of god as they protect the world frm terrorists
What has Obama got to do with all this? Mlitaka afanyeje? Hizi ni agenda zipo miaka nenda rudi ni bahati mbaya imemkuta Obama katika utawala wake hata angekuja rais kushuka toka mbinguni angetekeleza. Soma historia ya Marekani ndipo utaelewa. Obama bado ni mtu mwema tu anakubalika na wengi kwa hilo including his own people in the States.japo namkubali obama ila ni gaidi la kutisha kama nini.
What has Obama got to do with all this? Mlitaka afanyeje? Hizi ni agenda zipo miaka nenda rudi ni bahati mbaya imemkuta Obama katika utawala wake hata angekuja rais kushuka toka mbinguni angetekeleza. Soma historia ya Marekani ndipo utaelewa. Obama bado ni mtu mwema tu anakubalika na wengi kwa hilo including his own people in the States.