Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,706
Ningekuwa mmarekani nisingempa kura yangu Obama. Simpi hata sasa wakati huu nipo nje ya Marekani. Hakuna asiyekubali kuwa taifa la Marekani ni kiranja wa Duniya yote kwa sasa. Ikiwa basi kiranja mkuu ameg'hafilika kwa kiwango cha obama ni sawa na kusema sayari yetu inaning'inia kwenye uzi uliokaribia kukatika. Ukiunganisha hili la ndoa za wa-se-nge na jinsi waarabu walivyokuja juu katika kipindi cha Obama na jinsi uchumi wa dunia ulivyoyumba, kutambuliwa kwa Palestina na UN, Iran kufanya majaribio ya makombora ya masafa marefu maraa kadhaa nk, ni kwamba dunia imepita kipindi cha miaka minne bila kuwa na baba katika nyumba.
Sasa ni wakati wa kuhakikisha kwamba baba wa nyumba anakabithiwa kiti chake. Democratic wamefeli kikubwa, Republic chukueni nchi kabla huyu Obama hajaharibu zaidi. Waafrika hatuwezi kupiga kura katika uchaguzi wa Marekani lakini haina maana kwamba hatuwezi kuwaombea Mungu awape kiongozi. Tutamuomba usiku na mchana amuondoe huyo mwanaumemke na amlete mwanaume kweli au mwanamke kweli.
TAPIKA HILI VUGU VUGU OBAMA EEH MUNGU.
.