Obama becomes first US President to support gay marriage

Obama becomes first US President to support gay marriage

Tuwe makini na hii taarifa, alichofanya Obama ni kuelezea mtazamo wake binafsi kama raia na si kama rais wa Marekani...
Kwa kufanya hivyo haina maana kuwa ametangaza huo kuwa msimamo rasmi wa Marekani kama taifa au serikali.

Kama Rais, ndo maana imesemwa kawa Rais wa kwanza Marekani kuunga mkono ushoga na atatumia huo msimamo ktk kampeni zake.
Obama akichaguliwa tena kuwa Rais mara ya pili, yaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa Taifa hilo kuwa Taifa Kuu duniani.
 
Kama rais wa marekani amewakubaliwa wamarekani waoane kifirauni sisi inatuhusu nini hapa jamvini wakubwa?
 
Hatuhitaji kukubaliana na kila tendo la mwanadamu kwa kisingizio cha kutoa haki.....

Kama ndivyo basi na tuhalalishe ugaidi, madawa ya kulevya na matendo yote maovu ili kulinda na kuwapa haki wanaotenda matendo hayo.

Tanzania inahitaji katiba mpya inayokazia adhabu kali kwa mashoga.
 
Kabla ya obama kuwa raisi, nilikuwa nikiomba kimoyomoyo kwamba jamaa awe raisi, somo nililojifunza sasa ni kwamba kumbe ukiomba omba lililo la kheri siyo maadamu kitu kinapendeza machoni leo kesho chaweza kuwa ni shari ya hatari!
 
Kwa kauli ya obama kwamba anaunga mkono ushoga huku mpinzani wake akimkosoa vikali... Ni bora Obama asirudi the White house a aha a hapana asirudi ukameroon hapana ahaa ahaa Republican chukueni ikulu tafadhari, kwa kweli a ah aa chukueni bana
 
Kabla ya obama kuwa raisi, nilikuwa nikiomba kimoyomoyo kwamba jamaa awe raisi, somo nililojifunza sasa ni kwamba kumbe ukiomba omba lililo la kheri siyo maadamu kitu kinapendeza machoni leo kesho chaweza kuwa ni shari ya hatari!

Mungu wa mbinguni nakuomba OBAMA asichaguliwe kuongoza kipindi cha pili anaipeleka dunia kusiko.

Hata mimi nilimpenda sana mwanzo na kumuombea lakini kwa sasa naomba aanguke kwenye uchaguzi ujayo.

Rais wa Marekani ni Rais wa dunia matendo yake halamu yanahalamisha dunia yote kwa wepesi kuliko Rais yeyote duniani.
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
It is HUMAN RIGHT VS HUMAN CULTURE,kama big Nations kama UK na US wanatangaza na kuridhia mambo ambayo yapo kinyume na Maadili ya mtz tujiulize tutakuwa wapi kimisaada kwan TZ Hutegemea pia misaada from outside including those Nations,Nahisi IT IS THE TIME kwa Tanzanians kuwaza ni namna gani twaweza kuwa selfdependent na kutokutegemea zaidi misaada from OUTSIDE! Cjajua kale ka statement ka "UJUMBE HUU UMELETWA KWENU NA ............. KWA USHIRIKIANO WA WATU WA MAREKANI" kataendelea kusikika au katapotezewa au watakiedit!!
kulingana na mambo yanavyoenda utasikia siku moja Rais atatangaza hatuna budi kukubali kwakuwa wanatupatia misaada
nyie subirini tu.
 
Kama rais wa marekani amewakubaliwa wamarekani waoane kifirauni sisi inatuhusu nini hapa jamvini wakubwa?

Kuna watanzania wenzetu wako marekani wakijifunza hayo wanaambukiza watanzania kidogo kidogo hadi litakapokuwa tatizo la kitaifa.

Mwingiliano wa biashara za kimataifa na uwekezaji duniani hivi sasa unaweza kusambaza ushoga kwa kasi na Urahisi hili si agizo kwa wamarekani tu ni agizo kwa dunia nzima kwa jinsi tofauti.

Kumbuka Rais wa Marekani ni Rais wa Dunia na ndio maana uchumi wa marekani ukiyumba uchumi wa dunia unayumba.
 
Do you this Guy Obama has approved this on his own will ?

I smell something like White Power in White House is behind this. But in whatever the case Obama will be one of my waste enemy to my cultural and moral values.
 
Kazi kubwa waliofanya wapigania haki za mtu mweusi na chotara nchini Marekani kama Macom X na Luther King inaishia kupigania ushoga????????? Hii inaumiza sana

oooooh my God,,,,,Obama anakuwa Rais anayepigania Ushoga????????
 
Source BB

Awa rais wa Kwanza wa Marekani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.

Rais wa Marekani Bwana Barack Obama amekiri kiridhia ndoa za jinsia moja na kudai kashauriana na ndugu na majirani zake na kuona kuwa ameona ndoa za bwana na bibi hazijakidhi matakwa ya watu wote na anapenda watu wote wawe huru kuamua kuoa au kuolewa na junsia yoyote.

Ameongeza kuwa kuna askari na watumishi wengi nchini mwake wanapenda na haipendezi kuwanyima haki yao.

My take.

Hiyo misaada kwa mmarekani ataweka na masharti ya nanma hii Jk atakataa kweli

msipende kumu under estimate raisi wenu hebu respect his intelligence,
 
jamani naomba kujuzwa hivi hajaoa yule mheshimiwa.....tehe tehe, uskute mkulu amejisogezea kitoweo
 
tehe tehe, naskia ana kahendsome kaka, pia dodoma kitamchangajia sana
 
kuna tetesi kuwa Eti wanataka kuvuruga mwenendo wa ongezeko la watu duniani, hoja ya kipumbavu na kishetani kuwahi kusemwa hadharani
 
Mh! Umaskini wetu unaosababishwa na uongozi mbovu ndio utakaoweza kutuingiza ktk janga hili hatari.
 
Angalieni mtini utakapoona unatoa matunda , ujue umekaribia mwisho.

Tena akasema, mtawatambua kwa matunda yao....

Obama ni tunda lao, anguko la Obama limefika, Mungu hatakubali unajisi huu upite.

Utavuna matokeo ya kauli yako kwenye uchaguzi wa Marekani, November 2012.

Vote for Republican, vote against infidel marriage.
 
Back
Top Bottom