Hapo ndo bottomline.Ndiyo maana nikasema kila Taifa lina historia yake na mambo yake linalokabaliana nayo, sisi ni wazee wa kuhamisha tu kila kitu na ndiyo maana tunaburuzwa tu na kupiga kelele utadhani na sisi ni wamarekani.Haya mambo ya ndoa ya jinsia moja tuwaachie wa Marekani wenyewe!Sisi tum-pressurized Prof Mhongo atuletee kwanza umeme bana!
Taifa ambalo halina hata maji saafi ya kunywa wala huduma za matibabu hasa kwa watoto na akina mama linakaa kujadili ndoa za jinsia moja tena za Wamarekani wenye kila kitu kwenye huduma zao za jamii?
Hivi umeelewa nilichoandika?
Anachojaribu kufanya Obama hivi sasa ni kuondoa mjadala toka kwenye uchumi kuupeleka kwenye masuala mengine ya kijamii kwa sababu mjadala ukilala kwenye uchumi, hali itakuwa ngumu kwake.
Siyo kweli, uchumi uko better than alivyoukuta, na ikija kwenye national security unajuwa mwenyewe.Anachojaribu kufanya Obama hivi sasa ni kuondoa mjadala toka kwenye uchumi kuupeleka kwenye masuala mengine ya kijamii kwa sababu mjadala ukilala kwenye uchumi, hali itakuwa ngumu kwake.
Sijaelewa.
Siyo kweli, uchumi uko better than alivyoukuta, na ikija kwenye national security unajuwa mwenyewe.
Ofcourse anajuwa bottomline of this campaign itakuwa ni economy, hata debate bado hawajakutana, so whatever you're saying is quite irrelevant.
Anajuwa aliyoyafanya kwenye awamu ya kwanza yataweza kufunika chuki za hao watakaotaka kuitumia hiyo issue.
Ninaamini kwakuwa ana confidence, na yeye ni mwanaharakati toka akiwa Chicago, basi ameamuwa kusimamia principles za uanaharakati katika presidential level.
Mkuu ZeMarcopolo, huyu amekuwa rais wa kwanza wa marekani kusema hayo maneno bila kumung'unya, na kwahiyo usishangazwe sana na yeye kusema sasa hivi, bali jiulize zaidi kuhusu implications zake kwenye the coming general elections.Mushi, swala siyo uchumi kuwa better zaidi ya alivyoukuta, wanachotaka wapiga kura ni uchumi kuendana na their American Dreams na whether Obama yuko responsible or not, uchumi has not been an area he is proud of. Kwenye siasa hakuna controversy zinazotokea by accident, hizi controversies huwa wanazitengeneza wenyewe kwa wakati muafaka. Just imagine mtu amekaa madarakani miaka minne hajazungumzia swala ambalo liko pending siku zote na ameanza kulizungumzia just after launching the campain! Its clear kwamba homeboy anataka kuamishia mjadala kwenye mada nyepesi nyepesi...
Hizo principle za uanaharakati angeweza kuzisema siku zote sio mpaka kampeni zianze...