Nimejiuliza hilo swali nimeshindwa kupata jibu! Kwa sababu Obama amemtaja Graca katika hotuba yake lakini siyo Winnie na pia alipomaliza hotuba yake akampa pole Graca, tena kwa hug, isipokuwa Winnie ingawa akina mama hao walikuwa wamekaa karibu sana! Was it that questionable integrity on the part of Winnie?

Winnie=Zitto Zuber Kabwe.
Rais Zuma amemtaja!
Mimi binafsi siungi mkono tabia chafu za Winnie kama binadamu, lakini baadhi bado wanauthamini mchango wake katika struggles za apartheid South Africa, nao tusiwapuuze sana--democracy at work!
Nasikia ustadhi kikwete an awake wengi sana. Sijui itakuwaje akitutoka japo hutuombei kifo
Winnie ni kama changudoa tu na ilivyo anaweza hata kunyimwa nafasi ya kuweka shada la maua wakati wa mazishi
Nikitoka hapa sijui nielekee wapi? Napita.....
Hivi kunani? Kwani Mandela kafariki?
sijui hapa unataka kumaanisha nini? Kama unataka kusema mzee madiba nae hakuwa ametulia kama Winnie basi utakuwa umepotoka sana, katika maisha ya utu uzima na huru Mandela alioa mara 3, ndoa yake ya kwanza na Evelyn na waliachana kutokana na kuhitirafiana kiitikadi, Dini ya mashahidi wa Yehova ya Evelyn ilikuwa hairuhusu kujihusisha na siasa hivyo Mandela hakuwa na jinsi. Akamuoa Winnie ambae alimsaliti akiwa jela na hata baada ya kutoka gerezani tena kwa kijana mdogo. Hivyo nae wakatalikiana. Ndipo alipomua Graca!
Utaona kuoa na kuacha kwa Mandela kulikuwa na sababu za msingi na wala si vinginevyo!