Obama amwambia rais Bagbo akubali kushindwa. JK je?

Ivory Coast mjuba wa Laurent Gbagbo kasimama in broad daylight, in front of cameras na kutumia brute force kuchana karatasi iliyokuwa na matokeo halali ya electoral commission.

Tanzania Kikwete owns the election commission and did not need to resort to unsavory shenanigans.

Big difference.

Pg-31-ivory-coast-g_507647a.jpg
 
Slaa hana matokeo ya ukweli , aliyo nayo ni yale ya uzushi ambayo wamemwambia ayatoe na yeye mpaka leo amekaa kimya kabisa. Ki ukweli hakushinda urais, na sidhani kama angekuwa na matokeo ya ukweli ninavyo mjua Slaa anavyopenda kutoa data angekuwa hajatoa mpaka leo. Kwa maana hiyo CHADEMA ndio wanao chakachua matokeo

safari hii kamuomba Mbowe ndio ayatoe maana amechoka kuonekana zuzu yeye peke yake wakati wapo wengi.
 
Jamani hapa tuwe objective kidogo ni kweli kulikuwa na mapungufu kidogo kwenye uchaguzi wetu lakini sio kiasi cha kubadili matokeo,tafauti kati ya asilimia 27 na asilimia 61 ni kubwa sana.Tusiwe wepesi wa kukubali kuwa wizi mkubwa ulitokea bila ushahidi wowote na ni zaidi ya mwezi na nusu tangu tuliambiwa tutaonyeshwa ushahidi.
 
Slaa hana matokeo ya ukweli , aliyo nayo ni yale ya uzushi ambayo wamemwambia ayatoe na yeye mpaka leo amekaa kimya kabisa. Ki ukweli hakushinda urais, na sidhani kama angekuwa na matokeo ya ukweli ninavyo mjua Slaa anavyopenda kutoa data angekuwa hajatoa mpaka leo. Kwa maana hiyo CHADEMA ndio wanao chakachua matokeo

Slaa(PhD) tulia na Josephine wako.

Hawa mbayuwayu wa JF size yetu.

Endelea kulipua kimya kimya.

Naskia wanataka kukaa 'meza moja' na chadema. Wangine wameanza kuitwa mawakala wako.

Hii ni trela tu.

Muvi yenyewe bado
 
Obviously hujui dunia hii inavyoendeshwa.The answer is simple.Kikwete ni "mwenzao ",Slaa sio.Sijui kama lugha hiyo inapanda.
Obama amemwambia rais Bagbo kwamba akubali alishindwa kwa mpinzan wake na aachie madaraka.
Kwanin Obama hakumwambie JK kwamba ameshindwa na amuachie Slaa nchi?
Kama mnakumbuka mmoja wapo wa ahadi za Obama kwa Afrika, ilikuwa ni kushugulikia marais ving'ang'anizi wanaoiba kura. Mbona he's not stood by his words? Ahadi ni deni
 
vipi madini yetu kubadilishwa na vyandarua? mbona huja-comment, unaishia kuleta vijembe na hadithi za Colombia? Mimi Colombia sijawahi fika. Nikatafute nini? Kama ni pipi hata dukani zipo.

cocoa puff [marijuana laced with cocaine]

Sijasema chochote kuhusu madini yenu kwa sababu nilitaka kusahihisha uozo ulioweka hapa. Uozo unaoonyesha kupotosha kwako na kukurupuka.

Kwamba hujui tofauti kati ya cocoa na coca inaonyesha wigo wa werevu wako umeishia wapi.

Kwamba unarukia habari za kufika Colombia inaonyesha unavyochanganya mambo, katika ulimwengu huu wa utandawazi si lazima kufika Colombia ili kujua kwamba Colombia kuna coca.

Kwamba hukubali kushindwa na kumshukuru mtu anayekufundisha kwamba cocoa ni tofauti na coca, ili kesho usiende kujinyea tena intellectually mbele za watu wanaojua vitu, inaonyesha utovu wa fadhila wa hali ya juu.

Wewe huelewi tofauti ya cocoa na coca unataka kujifanya unaelewa the intricacies of geopolitics ?
 
Kwa sababu awali ya yote Slaa hakushinda uchaguzi na hilo halina utata.

Pili, unataka apewe kuongoza nchi mtu ambae anapora wake za watu? Hata kanuni za kanisa lake, ambalo halimruhusu kuwacha na kuchukuwa mke wa mtu ambae hajaachwa, kazivunja. Mie ntaishangaa Tanzania na dunia itayoruhusu hilo.

Kwa hiyo asipewe tu kwa sababu kachukuwa mke wa mtu. Kwa hiyo wenye mitara, nyumba ndogo, vimada n.k. wao sawa tu kwa vile anayechukuliwa ni mme na si mke??
 
cocoa-puff is marijuana laced with cocaine

And it is related to Ivory Coast because .............?

Kwani mpumbavu anahitaji kitu ki make sense yoyote? Anajisemea tu almuradi na yeye ajionyeshe yupo, internet anayo.

As libertarian as I am and being for free speech and all, sometimes I wonder if there oughta be laws against some of these peeps yapping their jaws.
 
As libertarian as I am and being for free speech and all, sometimes I wonder if there oughta be laws against some of these peeps yapping their jaws.

Oh so you are now a "libertarian" and not a liberal?
 
Mie nilikuwa nasubiri kuambiwa kuwa chocolates ni addictive kwa hiyo ni sawa na dawa la kulevya.......seriously

*walau inge make sense kiduuuchu
 
Oh so you are now a "libertarian" and not a liberal?

I have always been a libertarian, almost all my posts are libertarian in nature, I strongly oppose censorship and governmental overreach.

I also have a lot of socially liberal streaks, there is no reason libertarianism should be the turf of conservatives. I believe there is a way to reconcile libertarianism with liberalism, after all libertarianism is nothing but classical liberalism.

If you follow the history of the emancipation proclamation for example, the Republicans were the original liberals - they wanted to end slavery - and Democrats were the conservatives. Although I am independent in nature, I see no problem reconciling liberalism and libertarianism. Like Chris Rock, I change my views with every issue and do not necessarily follow religiously any one trend.

So for example, when it comes to the freedom of the press/ expression I am libertarian, but that does not mean I don't believe the rich shouldn't pay their fair share of the tax burden. That doesn't mean I am pro-guns, anti-public schools and anti-public trans.

If you follow these ideologies religiously you will find a lot of contradictions. For example, how can libertarian conservatives who are anti-gun control and anti-abortion reconcile saying they do not want governmental interference when it comes to gun control, but fail to invoke the same principle when it comes to abortion ?

At least now somebody can elevate this convo to some higher panel like the liberal roots of libertarianism, unlike some brain farts in here.
 
Unataka Obama amdenounce JK sasa uranium ya Namtumbo wataichukuaje?
 
If you follow the history of the emancipation proclamation for example, the Republicans were the original liberals - they wanted to end slavery - and Democrats were the conservatives. Although I am independent in nature, I see no problem reconciling liberalism and libertarianism. Like Chris Rock, I change my views with every issue and do not necessarily follow religiously any one trend.

Same here. I'm liberal on some issues and conservative on some issues.
 
Same here. I'm liberal on some issues and conservative on some issues.

Hiyo ndo mpaka vyama vya siasa vya Afrika. Haviko huku wala huku na kwa mujibu wa 'Wazungu' ndicho kinachosababisha vyama vya upinzani kutoshinda chaguzi nyingi. (Sijui kuna ukweli wa kiasi gani hapo)

Binafsi ningependa vyama vyenye misimamo(mirengo?) iliyo wazi zaidi.
 
Hata mimi nina mtazamo kama wako. Ni muhimu kwa chama kuwa na mrengo fulani ili hata kinapojinadi katika kampeni za uchaguzi, wapiga kura wawe na clear alternative.

Ni vigumu kuwashawishi watu wakuchague wewe kama hawaoni tofauti yoyote kati yako na mimi. CHADEMA, kwa mfano, hawawezi kushinda uchaguzi kwa kuwa kama CCM. Labda utokee muujiza.
 
Kwa Tanzania ilivyo sasa, kwa vile CCM haina cha maana inachofanya ni rahisi kwa watu kuunga mkono mageuzi yoyote. Lakini CCM ingekuwa inafanya dogo tu la maana kisha wasema wao wanafuata 'Ujamaa na kujitegemea' (ambacho kwangu haki make any sense) wangeendelea ku retain watu wengi zaidi ya sasa.
 
Obama aliisha sema uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na wa haki, mwataka afanye nini ? Jiapngeni 2015

Niambie KiCHAA WANGU!!!!!! lazima ulikuwa Ulaya au Amerca.......

Sijakuona Muda mrefu, vipi mulienda kulipa fadhila KWA WA"Iran"??? Maana wao kwa kupitia kidume chenu RA, ndo angalau mnasogea sogea siku zinaenda...........

Ulimuacha mpuuzi mwenzio DAR ES SALAAM, akiendleza upuuzi WENU....

Lakini haina neno, UPUUZI + UPUUZI ( yaani wewe na kichaa wako SALIDARAMA) ni UPUUZI square...

Karibu kaka, UTUOYESHE UPUUZI WAKO.... karibu sana... Jisikie uko shambani
 
Ni bora ya ivory cost kuliko tanzania, hapa bongo ni usultani na ubaladhuri na udikiteta mkubwa jk ashukuru watanzania na slaa hawakupiga kelele, tungepiga zengwe jk sasa out.
 
Ndugu yangu Wabe wacha kusema hivyo; umesikia leo viongozi wetu wa wizara ya fedha wanapiga magoti kuomba chochote kwenye kopo ama sivyo bajeti haifiki. Ni kutokana na unyonge wetu wa aina hiyo ndiyo maana Obama na viongozi wote wa magharibi wanakuwa na sauti juu kwetu pia
Fedha zimetumika kufanikisha kusaidia wananchi kuchagua viongozi wao, hivyo kwa kuwa Demokrasia imetekelezwa lazima wafuatwe viranja wa demokrasia waweke chochote kupunguza makali yaliyotokana na uchaguzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom