Obama akiendeleza libeneke la show off!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Wiki tatu zilizopita alikuwa raisi wa USA huyu, Obama sasa hivi amekimbilia Visiwa vya Karibiani huko, yuko na Bilionea Richard Branson ambaye ndiye mmiliki wa hicho Kisiwa Obama alichokimbialia!

Baada ya kukinukisha USA sasa anaendeleza libeneke huku nyuma USA ikiwaka moto!

Former-U-S-President-Barack-Obama-and-British-businessman-Richar.jpg




Former-U-S-President-Barack-Obama-sits-on-a-boat-during-a-kite-s.jpg



Former-U-S-President-Barack-Obama-tries-his-hand-at-kite-surfing.jpg



Former-U-S-President-Barack-Obama-tries-his-hand-at-kite-surfing.jpg



 
Hiyo ni bulletproof au ni lifejacket? Au ni two in one?
 
Obama rais bora kabisa kutokea United States.

Wakati wako kupumzika huu Mr Obama

Haters wanataabika Obama kufurahia maisha yake baada ya kazi nzito kuiongoza US miaka 8

Sir Richard Branson muda mote anafurahi. Imekaa poa sana....dunia hii iliyojaa chuki na kejeli unachoweza kufanya ni kutabasamu nakufurahia life
 
Back
Top Bottom