Obama akiendeleza libeneke la show off!

Obama akiendeleza libeneke la show off!

Jamaa huyu haogopi mamba?? Au hakuna hata kenge maji hapo au
 
Hicho kisiwa kinaitwa necker island kwa ufupi hapo huenda matajiri na watu mashuhuri kwa mfano Nelson mandera , Desmond Tutu, koffi Anan, Beckam wote washakitembelea kisiwa hicho
 
Kaangalieni tutu alivyoogelea na sir Rich ndio hamtoitoa kasoro hiyo picha ya baraka na rich
 
Mtema sumu kama kawaida yako.
Unamtafutia Trump mchawi wakati ni yeye mwenyewe!, hongera kwa kazi nzuri.
Nakupa na zawadi ya picha nyingine Obama na Michelle wakila Bata post-presidency.

0201-sbs-obamas-twitter-4.jpg
 
Obama rais bora kabisa kutokea United States.

Wakati wako kupumzika huu Mr Obama

Haters wanataabika Obama kufurahia maisha yake baada ya kazi nzito kuiongoza US miaka 8

Sir Richard Branson muda mote anafurahi. Imekaa poa sana....dunia hii iliyojaa chuki na kejeli unachoweza kufanya ni kutabasamu nakufurahia life
Uyu sio MTU anakubali ushoga
 
Sema
"Obama ni rais unaye mpenda kuliko marais waliowahi kuwako hapo us"
Ila obama hata top 10 ya marais bora kabisa hayupo
Obama will go down as one of the best presidents in the US. Tena watamkumbuka haswaa.

Kuanzia kupitisha Obama care act. Ambayo ni kama human rights vile. Ukubali kukataa. Republicans waondoe hii act au waache.

Obama amejaribu kutengeneza urafiki na nchi zilizokuwa adui miaka nenda rudi....mfano Cuba. Pia alijitahidi hata kukaa na kuzungumza na serikali ya Tehran

President Obama has done alot. And the Americans are really going to miss him

Mimi nitamkumbuka kwa mpango wa Yali. Young Afrikan Leaders Initiative. Yeye pamoja na Malcom Philips.

Tuli-enjoy nakujifunza Nairobi. Sasa tunajithidi kwenye start ups zetu.

Mkuu endelea kumuona Obama worst president.

Mimi kwangu ni charismatic leader. Ameiinua US toka depression aliyoacha Bush na migogoro kibao duniani
 
Ni kweli uko sawa
Ila Obamacare ni lengo zuri ambalo lili tekelezwa vibaya so nampongeza kwa nia njema.
Kuhusu Cuba nampongeza mia kwa mia
Ila kwa irani walisaini mkataba wa kijinga na bado Irani anaendelea kuzalisha nuclear wala haikisaidia sana, ila nayo alikuwa ana nia nzuri.
Hizo program sizijui so siwezi ku comment, yet haziwezi kumfanya kuwa rais bora kabisa.

I think he is a good person but was just okey president.
Na now wamarekani wana mkubali wengi just kwa kuwa mwaka jana kulikuwa na waogombea wabaya na unpopular.
Thinking about that naamin his record is beatable by any president who will turn out to be fine
Unaweza ukasifia ame recover uchumi but thay was the slowest recovery of recession since GDP, so hata kwenye uchumi siyo kuwa alikuwa fantastic.
Ashukuru tu aliye mfuata ni Trump ambaye si popular, and people like him as a person sio sera zake.
 
Mkuu huoni wewe ndio unakashifu rais?? Ni rais gani unamuongelea kwanza?? Mimi ni mtanzania na rais wangu ni JOHN POMBE MAGUFULI?? sasa huyo wako anayekashifiwa ni nani??

Na nitapatikana kwani nimepotea?
Sizan kama uko timamu lakin endelea kuna siku yako
 
Mkuu huoni wewe ndio unakashifu rais?? Ni rais gani unamuongelea kwanza?? Mimi ni mtanzania na rais wangu ni JOHN POMBE MAGUFULI?? sasa huyo wako anayekashifiwa ni nani??

Na nitapatikana kwani nimepotea?
Una mtukuna mtu ambaye hata huendani naye kama siyo laana ni nini pole sana kaka yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom