haa haa dina bhana, labda michele anayapenda...Raisi wa Us ana manyoa kwapani wapii mishel
Siyapendiii hayooo looohaa haa dina bhana, labda michele anayapenda...
Mmmh kwan mpk mung akaumb Adam na Eva alikua na makosa uo ni ujingaWewe ulitaka aanze kukimbizana na homosexuals na kuwauwa?
Sheria na tamaduni za US zinatambua homosexuals.
Sijui ndo walikuwa wanataka kulana denda...
Kibaraka wa Dikteta wewe unawaza kukamata watu shwaini wewe.Itafika wakati tu utapatikana endelea kumkashifu Rais
Sasa kwa nini unatokwa na povu?Acha upumbavu bwana!...chuki zako kwa Obama ilhali big baby Orange butt face racista atalitimua tako lako la nyani ,nyeusi toka Marekani muda wowote.
Ametoka bush mda mrefu lkn ana kiswahili cha kijijinYule john pumba alivokomaa ataweza hata kushika hiyo kamba???
Kivipi yaani?Mwacheni ale raha, sasa atakuwa tajiri sana kwa kutoa hotuba tuu, yaani huyu atapata hela kumzidi hata clinton
Unajiona ww ni mjanja sana lkn na unategemea kujificha kwenye hicho kivuli bt uko wrong, kwani huyo john pumba ni nani na ana nafasi gani ktk jamii na ni wapiMkuu huoni wewe ndio unakashifu rais?? Ni rais gani unamuongelea kwanza?? Mimi ni mtanzania na rais wangu ni JOHN POMBE MAGUFULI?? sasa huyo wako anayekashifiwa ni nani??
Na nitapatikana kwani nimepotea?
Anaalikwa aongee kwenye matukio ya makampuni, semina za kibiashara, au kwenye charity meetings au fundraising meetings, so anawatoza hela per speechKivipi yaani?
Hotuba zinawezaje kumlipa?
Duuh, dola zote hizoAnaalikwa aongee kwenye matukio ya makampuni, semina za kibiashara, au kwenye charity meetings au fundraising meetings, so anawatoza hela per speech
Mfono bill clinton ukitaka azingumze kwenye tukio lako una mlipa dola laki 2 na 50 mpaka dola laki 5.
Watu wengi mashuhuri hasa marais hufanya hivo wakistaafu ili ku boost mifuko yao
Speech zao huwa zinaleta chachubya maendeleo ya kampuni husika na mambo mengine kama alivyoeleza mdau hapo juu, kufanya kazi ya kushawishi jamii si kazi rahisiDuuh, dola zote hizo
Kwani speech yao inakua na nini cha ajabu labda.?
Dahh
Aah,Speech zao huwa zinaleta chachubya maendeleo ya kampuni husika na mambo mengine kama alivyoeleza mdau hapo juu, kufanya kazi ya kushawishi jamii si kazi rahisi
Exactly,Aah,
Sema kampuni inakua imejizolea umaarufu kutokana na jamaa kutia timu!?
Okay, hapo nimekuelewa!
Kwa maana nyingine ni kwamba, wanakua wanaitangaza
Nothing specialDuuh, dola zote hizo
Kwani speech yao inakua na nini cha ajabu labda.?
Dahh