Obama akiendeleza libeneke la show off!

Obama akiendeleza libeneke la show off!

Ni kweli uko sawa
Ila Obamacare ni lengo zuri ambalo lili tekelezwa vibaya so nampongeza kwa nia njema.
Kuhusu Cuba nampongeza mia kwa mia
Ila kwa irani walisaini mkataba wa kijinga na bado Irani anaendelea kuzalisha nuclear wala haikisaidia sana, ila nayo alikuwa ana nia nzuri.
Hizo program sizijui so siwezi ku comment, yet haziwezi kumfanya kuwa rais bora kabisa.

I think he is a good person but was just okey president.
Na now wamarekani wana mkubali wengi just kwa kuwa mwaka jana kulikuwa na waogombea wabaya na unpopular.
Thinking about that naamin his record is beatable by any president who will turn out to be fine
Unaweza ukasifia ame recover uchumi but thay was the slowest recovery of recession since GDP, so hata kwenye uchumi siyo kuwa alikuwa fantastic.
Ashukuru tu aliye mfuata ni Trump ambaye si popular, and people like him as a person sio sera zake.
Mkuu
Mimi binafsi simkubali Obama katika mambo yake ya ushoga namna alivyosapoti, Lakini najua kabisa kuwa sera za Democratic ni kusapoti mambo ya kishoga, na yeye ni democtrat hawezi kwenda kinyume na matakwa ya chama chake.
Lakini mambo aliyafanya Obama yamesaidia sana kuitoa Marekani toka kwenye deppression na kukuza uchumi ambao ulianguka katika kipindi cha Bush, kwa maana nyingine ni kwamba ilitokana na sera za Republicans, Usisahau kuwa Obama kama Rais alianza kupingwa toka siku ya kwanza ya urais wake, alipingwa kila alichotaka kufanya, lakini bado ameachivu mambo mengi.
Ukiangalia Trump ana Mabunge na serikali lakini ameanza kwa kusaini Executive orders, wakati Obama alifanya kwa kuwa alipingwa sana. Trump hakuwa na haja ya kufanya hivyo kwa kuwa ana nguvu zote.Obama alifanya kwa kuwa hakuwa na namna nyingine, Kama unakumbuka jinsi Republicans walivyopambana kumfanya one term President ,lakini walishindwa, Amebaguliwa sana kwa rangi ya ngozi yake, kwa aliyoyafanya kama angekuwa Mzungu sifa zake ungezisikia kila kona.
 
Mkuu
Mimi binafsi simkubali Obama katika mambo yake ya ushoga namna alivyosapoti, Lakini najua kabisa kuwa sera za Democratic ni kusapoti mambo ya kishoga, na yeye ni democtrat hawezi kwenda kinyume na matakwa ya chama chake.
Lakini mambo aliyafanya Obama yamesaidia sana kuitoa Marekani toka kwenye deppression na kukuza uchumi ambao ulianguka katika kipindi cha Bush, kwa maana nyingine ni kwamba ilitokana na sera za Republicans, Usisahau kuwa Obama kama Rais alianza kupingwa toka siku ya kwanza ya urais wake, alipingwa kila alichotaka kufanya, lakini bado ameachivu mambo mengi.
Ukiangalia Trump ana Mabunge na serikali lakini ameanza kwa kusaini Executive orders, wakati Obama alifanya kwa kuwa alipingwa sana. Trump hakuwa na haja ya kufanya hivyo kwa kuwa ana nguvu zote.

Renegade kwanza hilo jina ni secret service code name ya Obama, kweli unamkubali

Obama hakupingwa kama Trump alikuwa ameshinda kwa mamilion ya kura, alikuwa ana approval rating ya almost 70% alikuwa na viti vya senate 60+ vice president, enough to make any law, alikuwa ana congress iliyo wapita republican kwa viti zaidi ya 45-50

For the first two years alikuwa ana kila silaha, lakini hakuzitumia, amekuja kustuka mwaka 2011, akiwa hana congress, mwaka 2015 ndio kanyang'anywa senate.
Uki mcompare yeye na Trump ni watu tofauti. Trump kaingia kwa kushinda electoral votes na kashindwa kwa mamilion ya kura, ana senate viti 51+ vice president, ana congress iliyo na viti zaid 25-35, ana aproval rating ya 47% yaan yuko kwenye dis advantage kubwa.
Looking back Obama/Renagade had to do more and he didint.

Though he is a good man, intelligent than Trump and Bush, he is likable. He didnt live up to his hype
 
Yap, kuna kitu umenikumbusha hapa,Nimeona katika kumptitisha Trump Secretary of Education, VP kama amevote vile?! Hii maana yake nini?, Kiukweli Obama hakutegemea kupoteza senate term ya kwanza tu ya urais wake, lakini pia katika chaguzi ya term yake ya pili yeye alishinda lakini Senators wake wengi walianguka.
 
Itafika wakati tu utapatikana endelea kumkashifu Rais
unataka kumtisha nani sasa!!? watu wanamkashifu MUNGU lakini bado anawaacha watubu wewe unataka kutuletea ujua wako hapa!?
 
Yap, kuna kitu umenikumbusha hapa,Nimeona katika kumptitisha Trump Secretary of Education, VP kama amevote vile?! Hii maana yake nini?, Kiukweli Obama hakutegemea kupoteza senate term ya kwanza tu ya urais wake, lakini pia katika chaguzi ya term yake ya pili yeye alishinda lakini Senators wake wengi walianguka.
Vice president, ni rais wa senate, yeye huwepo kuvunja tie si unajua senate ina viti 100, so yeye anaweka kura yake ili kuonesha minority na majority, sasa juzi walio mpigia kura Devos walikuwa democrats 50 na Republicans 50, so VP aka broke tie kwa kumpa Betsy kura yake so, Betsy akapita kwa kura 51-50.
Pia vice president ndio huapisha maseneta na maofisa wa senate.
Zamani VPs walikuwaga wanajishindia kwenye ofic za senate tu walikuwa hawajui kinacho endelea kwenye ofis ya rais kama wananchi wengine tu, lakini kwa kuwa modern days VPs wamekuwa na ushawishi mkubwa huenda kwenye senate pale inapo lazimu tu na mara nyingi huwa wanakuwa westwing jirani na rais ndio maana hata juzi uliona Pence alivo cast vote akasepa.
Kwa hiyo President pro- tempore wa Senate ndio ana preside mara nyingi.
 
Renegade kwanza hilo jina ni secret service code name ya Obama, kweli unamkubali

Obama hakupingwa kama Trump alikuwa ameshinda kwa mamilion ya kura, alikuwa ana approval rating ya almost 70% alikuwa na viti vya senate 60+ vice president, enough to make any law, alikuwa ana congress iliyo wapita republican kwa viti zaidi ya 45-50

For the first two years alikuwa ana kila silaha, lakini hakuzitumia, amekuja kustuka mwaka 2011, akiwa hana congress, mwaka 2015 ndio kanyang'anywa senate.
Uki mcompare yeye na Trump ni watu tofauti. Trump kaingia kwa kushinda electoral votes na kashindwa kwa mamilion ya kura, ana senate viti 51+ vice president, ana congress iliyo na viti zaid 25-35, ana aproval rating ya 47% yaan yuko kwenye dis advantage kubwa.
Looking back Obama/Renagade had to do more and he didint.

Though he is a good man, intelligent than Trump and Bush, he is likable. He didnt live up to his hype
Turudi nyuma,hebu tuangalie sisi huku African tumepata nini au labda tumepoteza nini katika kipindi chake?Tumepata mafanikio zaidi au ?WaPo watakosema hakuwa Raisi wa waafrika.
 
Kwa Afrika
Ki ukweli Bush alisaidia zaidi kuliko Obama.
1. Obama alikuwa ana asili ya Afrika ange jipinda sana huku ingekuwa mushkheli kiaina huko kwao.
2. Bush ali ingia kipindi ambacho Afrika tulihitaji msaada zaidi, tulikuwa tuna endelea kushambuliwa na AIDS na tume toka kwenye, marerekebisho ya miaka ya 90.
So Obama na ugomvi wa masuala ya ushoga kidogo ulifanya apunguze misaada kwa baadhi ya nchi za Afrika
So Bush did better than Obama, though siyo kwamba Obama ndio aliacha kabisa kutoa misaada, ila alipunguza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom