majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 564
Japokuwa huwa napenda sana kuwasikiliza wazazi wangu, lakini kwenye suala la nani wa kuoa hapo huwa siwezi kuwaruhusu wanichagulie na bahati nzuri wazazi wangu sio wa kihivyo. nakushauri ufuate hisia na maamuzi yako wewe kama wewe maana hata wao wazazi hatujawashauri sie waoane. Mkuu, akili za kuambiwa changanya na zako halafu upate jibu sahihi litakalokufanya ufanye maamuzi ya busara. LIWALO NA LIWE!!!