job true true
Wadau
nipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?
mi ni mngoni, nishauri!!
za magono wa kunyumba.duh karateka pole sana wa kunyumba! Hata baba yangu alitaka kumkatalia dada yangu alipoleta mchumba jina lake lilifanania sana na wahaya lkn yeye ni muha wa kigoma, cha kushangaza aliwahi mwambia hata kaka yetu mkubwa kwamba hataki aoe mwanamke wa kihaya. Hapohapo dingi mdogo mkewe ni mhaya, mtoto wake wa mwisho wa kike aliishi sana bukoba mpaka alipomaliza std seven so ana lafudhi ya kihaya kabsaa shule hajamaliza kufukuzana na suruali tu sinza. Baba aliwahi fanya kazi karagwe labda alikuwa na sababu zake sijajua. Mimi nawafahamu wasichana wa kihaya wengi tu tena wako very decent na wamekuwa wake wazuri tu. Hii generation yetu kabila wala si sababu, sababu kubwa ni malezi mtu aliyoyapata toka kwa wazazi, pili uchumi au kipato tatu ndoto na tamaa ya kuwa na mafanikio bila kuwa na kipato cha kutosha, so kuepukana na yote hayo kijana piga shule ukipata kazi jikusanye atleast 5 yrs ndio uoe ukiwa umejiandaa kutunza mke! Pole sana wakunyumba
tutake radhi MjangaMkuu unaweza usiwaelewe wazazi, lakini kuna umuhimu wa kuwasikiliza japo ujatupa sababu walizokupa!
kwa harakaharaka sababu zao zinaweza kuwa:
1. Umbali: Ungonini (Songea) na Uayani (Kagera) ni mbali sana hasa mambo ya kijamii yanapokuwainvolved, ukumbuke kuwa lengo la kuoa pia ni kusogeza hizi familia mbili (ya mwanaume na mwanamke) karibu na kujenga undugu na urafiki. endapo familia hizi zitashindwa kutambuana na kujenga ukaribu hapa kuna tatizo. mfn tatizo linapotoke au mtu anapojisikia kutembela upande mwingine, basi atatumia gharama nyingi au atashindwa kabisa! hili ni tatizo na unapaswa kuliona! ukumbuke kuwa hatujafikia ule ustaarabu wa familia kujengwa na baba, mama na watoto pekee!
2. Utamaduni: japo watu wengi wanalipuuza hili, lakini lina maana kubwa sana! unapokuwa na mtu ambaye mnashare naye cultural elements kuna faida zake, mfn hakuna atakayeshangaa mambo fulanifulani yanapotokea/fanyika, na kila mtu anakuwa huru! hapa TZ kuna baadhi ya makabila Mama/Baba Mkwe kulala ukweni ni jambo la haibu sana, lakini wengine ata akikaa mwaka mzima ni rahaa mustarehe! so unapaswa kuyachunguza na kuyajua haya yote na madhara yake!
3. Lugha: japo hii ni sehemu ya utamaduni lakini ina umuhimu sana katika mahusiano! mnapokuwa mnaongea lugha tofauti inakuwa shida sana unapokuwa na mpenzi wako alaf unakutana na watu wa kwenu na kulazimika kuongea kilugha chako! wengi wamejikuta wakiingia katika mgogoro wakidhani kuwa wenzi wao wanawateta, huku wakikosa amani na uhuru!
kuna mengi..wengine wataongezea! waliokaidi sauti za wazazi wengi (japo si wote) wanajuta na kubakia na "NINGE..."
NB: Mngoni na Mhaya (wengi wao) wanaendana kwa sababu wote wana ile sifa ya kupenda kutathmini maumbo...wanapenda kuchungulia/kuchunguliwa kule walikotoka!
Mbona wangoni wana tabia mbaya kuliko wahaya?
Ama kweli muwamba ngozi huvutia kwake.
nitampa sababu gani ya kumwacha? na tumependana[/QUOTE]
hivi katika hali hii ya kuchanganya makabila kiasi hiki kulikopo kwenye jamii kuna mtu amebakiwa na tabia za kabila lake kweli?kimsingi sidhani!weakness au potentiality ya mtu sasa hivi inabase kwa mtu mwenyewe!sio kabila jamani.hatuolewi/kuoa kabila.TUNAOA/TUNAOLEWA NA WATU.TENA WENYE MAPUNGUFU KATIKA UBINADAMU WAO!so kama ni ndoa unataka kubali katika hili kwanza thn utajua ufanye nini!
yenyee hii ngati uimalize tuuuu ne mbwiiitu!za magono wa kunyumba.
mimi pia mngoni na kuna kaka yangu kaoa mhaya, yaani tunampenda yule wifi kupita maelezo, ana tabia nzuri sana....... kabila siyo tatizo kabisa kama alivyosema kaka yangu hapa, angalia tabia zake tu na uwe na sababu nzuri ya ku-convince wazazi
Mngoni na mhaya duuh yaaani mnatoa breed ya hatarii
he heeeeeeeeeeee, ne niyogopa ngondo, pepayi mlongo wangujova veve mlongo wangu!ngati nimjibu nene yenyee hii itakuwa ngondo ba hapa!
nitampa sababu gani ya kumwacha? na tumependana
Mkuu unaweza usiwaelewe wazazi, lakini kuna umuhimu wa kuwasikiliza japo ujatupa sababu walizokupa!
kwa harakaharaka sababu zao zinaweza kuwa:
1. Umbali: Ungonini (Songea) na Uayani (Kagera) ni mbali sana hasa mambo ya kijamii yanapokuwainvolved, ukumbuke kuwa lengo la kuoa pia ni kusogeza hizi familia mbili (ya mwanaume na mwanamke) karibu na kujenga undugu na urafiki. endapo familia hizi zitashindwa kutambuana na kujenga ukaribu hapa kuna tatizo. mfn tatizo linapotoke au mtu anapojisikia kutembela upande mwingine, basi atatumia gharama nyingi au atashindwa kabisa! hili ni tatizo na unapaswa kuliona! ukumbuke kuwa hatujafikia ule ustaarabu wa familia kujengwa na baba, mama na watoto pekee!
2. Utamaduni: japo watu wengi wanalipuuza hili, lakini lina maana kubwa sana! unapokuwa na mtu ambaye mnashare naye cultural elements kuna faida zake, mfn hakuna atakayeshangaa mambo fulanifulani yanapotokea/fanyika, na kila mtu anakuwa huru! hapa TZ kuna baadhi ya makabila Mama/Baba Mkwe kulala ukweni ni jambo la haibu sana, lakini wengine ata akikaa mwaka mzima ni rahaa mustarehe! so unapaswa kuyachunguza na kuyajua haya yote na madhara yake!
3. Lugha: japo hii ni sehemu ya utamaduni lakini ina umuhimu sana katika mahusiano! mnapokuwa mnaongea lugha tofauti inakuwa shida sana unapokuwa na mpenzi wako alaf unakutana na watu wa kwenu na kulazimika kuongea kilugha chako! wengi wamejikuta wakiingia katika mgogoro wakidhani kuwa wenzi wao wanawateta, huku wakikosa amani na uhuru!
kuna mengi..wengine wataongezea! waliokaidi sauti za wazazi wengi (japo si wote) wanajuta na kubakia na "NINGE..."
NB: Mngoni na Mhaya (wengi wao) wanaendana kwa sababu wote wana ile sifa ya kupenda kutathmini maumbo...wanapenda kuchungulia/kuchunguliwa kule walikotoka!
yaani mimi siju wajukuu watakuwa na breed gani, maana sipati picha.mi ni mngoni (baba yangu mngoni na mama mnyakyusa)mume wangu ni mchaga(baba mchaga na mama mhaya)unasemaje hiyo breed hapo yaya??!na maisha yanaenda poa sana tuuu!
he heeeeeeeeeeee, ne niyogopa ngondo, pepayi mlongo wangu
yaani mimi siju wajukuu watakuwa na breed gani, maana sipati picha.