Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
hivi mkiambiwa muorodheshe wangoni waliowapa katika maisha yenu wanafika hata 3 kweli?tatizo mnakumbuka ule utamu mliowahi kuupata ndo mana kila mtu hapa mishipa inamtoka oh wangoni wangoni!na we tutake radhi!
Ha ha ha ha1. Mkuu kiongozi wangu wa nchi huwa hana tabia ya kuomba msamaha, hata Mkuu wa Jeshi la Polisi hajawahi kuomba msamaha, hata mawaziri wa afya na mambo ya ndani hawajawahi kuomba msamaha (vifo vya wagonjwa na raia), hata mafisadi hawajawahi kuomba msamaha!!! Nchi hii haina mila na desturi za kuomba msamaha!!! Sasa mimi nimekosa nini nitake radhi!!!! Si nimesema ukweli!!!! Ninawajua wanawake wa kingoni, ni wakarimu sana!!! Na mambo wanayajua!!!! Si ni sifa hizo!!